Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Unapanguaje wakati 1+1=2 , hapo unapanguaje fact kama hiyo ya natural mathematics and not matrimonial. Facts za Lisu ziko hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu,Labda wapangue kiudaktari....yaani 2x2=4 lakini kwa daktari ukijaribu hivyo...unakufa......Lissu Anazo GB 2 wakati wanalumumba wana MB 1 HADI 100
 
Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.

Tumsifu Yesu Kristu padri, tumeona bandiko lako la kirohosiasa, hiyo ndio haki ya kidemokrasia na unaitumia vyema. Kipi kinakushinda kuomba mikataba ya nchi hii kuwa wazi ili tujue wabaya wetu? Kwenye hiyo mikataba ndio tutajua uzalendo wa kweli, lakini mikataba kubaki kuwa siri kisha kutuambia kuna mtu anatupigania ni kutuona watoto tusiojua lolote bali baba tu ndio anayejua. Sasa hivi uchumi umedondoka toka 7.2 to 5, hilo huoni padre, ww unasikiliza propaganda za mromamani mwenzetu. Padre unafiki mnauingiza mpaka kanisani, wanaopigania wanyonge maisha yai hayafanani kabisa na wanyonge, umewahi kuhoji mishahara yao? Unajua wanapata huduma zote muhimu bure kama maji, umeme, nyumba nk? Watoto wao wanasoma shule za umma? Jitafakari padri.
 
Koma, tena ukome kutumia mifano ya kitabu kitakatifu na upuuzi wenu wa kinafiki. Mnafiki mkubwa wewe! Mfano wako na siasa zenu za kinafiki pelekeni huko mlikozoea kujipendekeza siyo kwa kitabu cha Mungu. Tumieni vitabu vyenu mnavyo vingi tu. Mna katiba ya chama, mna Ilani ya chama, mna ahadi za nini sijui, tumieni hizo acheni kuunganisha ukristo na maovu yenu. Mnabariki maovu kwa maandiko?? Mkome!

ACHA nikae KIMYA...!

loh! Mbona hujampasukia Yesu kutumia neno mbwa katika neno la Mungu? Mbona hujampsukia Yesu (ewe mtu wa rohoni) kwa nini yule mama alikuwa katika mtanziko mkubwa wa kisaikolojia juu ya mateso ya mwanae lakini badala yake anamwambia yule mama "mbwa watashiba baada ya watoto"? Basi,kama huwezi kumpasukia Yesu "mwasisi" Wa neno hilo mbona unanipasukia Mimi? Lipi jipya toka kwangu ambalo Yesu hakusema?

Ewe,msoma Maandiko Matakatifu bila kuwa na macho umeshindwa kuona "maandishi vizuri" katika post hii lakini je,hata sauti za kinachoendelea juu ya uonevu wa "mbwa Wa nje" dhidi yetu na sarakasi wanazotumia juu ili kufukamia chakula chetu nazo umeshindwa kuzisikia?
 
Tatizo msababisha majanga anasujudiwa na kuwapa lawama wasiohusika,ni kwa nini ukweli unapindishwa?
Kwa style hii hatutafika popote punguzeni unafiki
 
Tatizo letu liko kutanguliza mahitaji yetu pekee huku ya Taifa tukiweka pembeni.Hizi fidia zisingekuja ikiwa watu wetu wa sheria wangezingatia zaidi maslahi ya watoto.I-wazi kuwa baadgi ya watu walihakikishiwa chao ili "mbwa" wazoe chakula yetu.Hilo la Makanikia kufunguliwa shauri ni kutaka kwenda katika mkondo ule ule: ku-compromise watakaoenda huko kwenye usuluhishi ili Serikali ionekane haikufuata taratibu.
Je mzalendo ni nani, anayehubiri kwenye mimbari za siasa kuwa ni mzarendo ilihali ndio chanzo cha tatizo au mzalendo ni yule aliyetoa tahadhari kabla ya hatari itakayotukumba iwapo tukiamua kuilamba sumu? Hakika kila ndimi itanena kabla jogoo hajapanua taya zake.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
MKUU, MTU ANAYEONGEA UKWELI NI NGUMU SANA KUPAMBANA NAYE KWA PROPAGANDA.

MTU ANAYEONGEA UKWELI HUJIBIWA KWA HOJA ZENYE UKWELI..

NA UKIMJBU KWA KUTUMIA UKWELI UNAWEZA KUJIKUTA UNAICHAFUA TASWIRA YA CHAMA CHAKO, SASA HAPO KITAKACHOFATA UNAKIJUA
Lakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!
 
MKUU, MTU ANAYEONGEA UKWELI NI NGUMU SANA KUPAMBANA NAYE KWA PROPAGANDA.

MTU ANAYEONGEA UKWELI HUJIBIWA KWA HOJA ZENYE UKWELI..

NA UKIMJBU KWA KUTUMIA UKWELI UNAWEZA KUJIKUTA UNAICHAFUA TASWIRA YA CHAMA CHAKO, SASA HAPO KITAKACHOFATA UNAKIJUA
Lakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!
 
Mungu akusamehe kwa kutumia maandiko yake kufanya propaganda potofu namna hiyo. Ningekushauri tuu kabla hujaingia kutupia mzigo wa lawama kuhusu issue ya ndege fuatilia kwa makini sana historia ya jambo hilo kabla hujahukumu hao "mbwa"


Mkuu ninao ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya suala hilo na mengineyo.Siandiki kuzalisha propaganda.Ninaandika kushibisha watoto.
 
Wakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!
I guess wapo ila siasa nyepesi zinazofanywa na Magufuli na kundi lake zàweza kuwa zimefanyà wakae pembeni
 
Back
Top Bottom