tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukuwa na haja ya mwenye mbwa kufuga mbwa aliyejua kabisa hasingeweza kumtunza.Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
Mtu wa namna hiyo hapo CCM bado sanaaaaa Mkuu..
Hata mimba yake bado haijatungwa...
Sasa kuzaliwa sijui itakuwa lini.
Usirudie kuni quote kama huna hojaInaonekana huu sehemu ya "mawaziri wapumbavu" wa Bwana John Yohana.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Mkuu unalaumu wanaomlaumu mtukufu lkn kumbuka wanaomlauTafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
Mkuu wapo wengi tu ila wakiingia ccm wanawaharibu akili angalia walivyowaharibu jaji mutungi na wengine wengi tuMtu wa namna hiyo hapo CCM bado sanaaaaa Mkuu..
Hata mimba yake bado haijatungwa...
Sasa kuzaliwa sijui itakuwa lini.
Sasa unahisi wewe hii nchi tukipe chama ganiNi vyema huu usia ukiandikie chama cha ccm...ndio walioifikisha nchi hapo ilipo na bado wataendelea kuipeleka kusikojulikana...
Ukitaka kupata picha ya watu wao walivyo weupe, ona mtu kama Humphrey Polepole..Yule Kabudi Mzee wa Kubangazana kumbe naye mweupee!
We utakuwa shemasi wa lumumba
Sijawahi shuhudia kanisani shemasi zwazwa km we[emoji1]
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Lakini Mkuu kuna mtu kama Humphrey Polepole..Mkuu wapo wengi tu ila wakiingia ccm wanawaharibu akili angalia walivyowaharibu jaji mutungi na wengine wengi tu
Mungu akusamehe kwa kutumia maandiko yake kufanya propaganda potofu namna hiyo. Ningekushauri tuu kabla hujaingia kutupia mzigo wa lawama kuhusu issue ya ndege fuatilia kwa makini sana historia ya jambo hilo kabla hujahukumu hao "mbwa"Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.