ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
Chama kimejaa mazombi waliomezwa na limbwata la ujamaaa ambalo linaamini kuwa kiongozi hakosei...na ili kuwakomoa "mabepali na wapiga dili" wanaozikosoa fikra zamwenyekiti hivyo kuwaumiza na kuwavunja moyo ni lazima tumsifie!
Hakuna mfumo wa kimaisha nisioupenda kama ujamaa kwani unalea unafiki wa kusifia kisichokuwepo na kukanusha kilicho dhahiri!
Hakuna kada wa kumjibu Lissu kwani karibu 90% ya anachokisema ni kweli na infact tuko kimya kwani anatusemea wanaccm kwa yale yanayotukwaza ila tunafungwa na ukada wa kutetea fikra za mwenyekiti!
Hata kule CHADEMA Mazombi wapo ila atleast wanajenga hoja kuntu!