Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

T
Tusimamie kweli na kweli itatuweka huru. Naungana nawewe kuwa dawa ya deni ni kulipa na afichaye maradhi kifo kitamumbua
Umeharibu mada yako kwa kuchanganya Dini na Siasa.
Weka kitu kimoja kimoja ili ueleweke.

DINI
Hilo andiko (Mathayo 15:21-28) ulilolitumia naona umelitumia vibaya ili kupotosha mambo hapa JF.
Tafsiri sahihi kuu ni moja tu katika hilo andiko, MUNGU hana ubaguzi, hata kama hukustahili baraka zake, lakini ukimpendezesha kwa imani basi atakufikia na kukusaidia. Imani ndio njia ya kukufanya ukastahili hata kama hukustahili hapo awali.

SIASA.
Tanzania tunadaiwa, tulikosea kwenye kufanya maamuzi yetu, tusiendelee tena kukosea, tulipe deni. Dawa ya deni ni kulipa tu. Tukiendelea kukwepa kulipa tutaendelea kuvuna aibu milele.
Asante kwa watu wote waliotufungua macho na masikio ya kuyajua hayo madeni makubwa yanayofanywa kuwa siri wakati tunaolipa ni sisi watanzania.
Hapo hakuna cha uzalendo, tulipe deni ili tuwe huru.
Tusimamie kweli na k
 
Nadhani uko sahihi ni vyema kuwa na watu kwenye uwezo ndani ya CCM kumjibu LISU wa TLS na CDM. Lakini ndugu yangu tatizo hapa ni hoja..kuna hoja za kisiasa kuweza kujibu Hao watu tunao watafuta ndani ya CCM. Ila kujibu FACTS kunataka hadhari ya hali ya Juu sana. Mfano huyu bhana LISU ameongea kitu kilicho na ukweli lakini hakikutakiwa kuongelewa hadharani. Hapo msemaji wa Chama hawezi kumjibu. Ingekuwa accusations tu hata Mimi ningekuwa size ya Lisu. Lakini facts ngumu kudeal nayo. Ingefaa kukaa kimya isiwe sawa na kukimbizana na kichaa. Kwa hili LISU kawahi tumvizie wakati mwingine
 
Mungu akusamehe kwa kutumia maandiko yake kufanya propaganda potofu namna hiyo. Ningekushauri tuu kabla hujaingia kutupia mzigo wa lawama kuhusu issue ya ndege fuatilia kwa makini sana historia ya jambo hilo kabla hujahukumu hao "mbwa"


Mkuu ninao ufahamu na uelewa wa kutosha juu ya suala hilo na mengineyo.Siandiki kuzalisha propaganda.Ninaandika kushibisha watoto.
 
Nadhani uko sahihi ni vyema kuwa na watu kwenye uwezo ndani ya CCM kumjibu LISU wa TLS na CDM. Lakini ndugu yangu tatizo hapa ni hoja..kuna hoja za kisiasa kuweza kujibu Hao watu tunao watafuta ndani ya CCM. Ila kujibu FACTS kunataka hadhari ya hali ya Juu sana. Mfano huyu bhana LISU ameongea kitu kilicho na ukweli lakini hakikutakiwa kuongelewa hadharani. Hapo msemaji wa Chama hawezi kumjibu. Ingekuwa accusations tu hata Mimi ningekuwa size ya Lisu. Lakini facts ngumu kudeal nayo. Ingefaa kukaa kimya isiwe sawa na kukimbizana na kichaa. Kwa hili LISU kawahi tumvizie wakati mwingine
Lissu amesahau hata mawaziri wa Ujenzi/ miundombinu walikuwa nani na nani wakati wa JK, ndiyo wa kumuamini huyu?!!!
 
Msemaji wa serikali jana kwenye tv kaboronga. Alikosa weledi wa kuitetea serikali. Wanasiasa wamewajulisha wananchi jambo walilofichwa, hawajauanzisha. Kudaiwa si kosa, unaficha aliesababisha. Ama kweli mkubwa akijamba mtoto aliye jirani anapigwa kofi.
 
Lakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!
Mkuu mbona hapa logiç ni ndogo tu.yeye alitekeleza wajibu wake kwa kupiga kelele za mwizi,mwizi ila jukumu la kukamata na kushitaki nilà serikali,sasà sijui kama umewahi kujiuliza why Lowassa hashitakiwi pamoja nà mawaziri na ràis kwa nyakati tofauti kukiri kuwa lowassa ñi fisadi,so kutumia mwizi kukamata mwizi kwa wenye akili ni jambo la kawaida
 
Ukiondoa tabia ya ulalamishi, Tundu ana uwezo wa wastani tu!
Jitahidi na wewe uwe wa wastani ili umma na mataifa yakutambue, kuliko kupambana na hali ya kutafuta watu wakufanana na Lissu kutoka ccm.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Jitahidi na wewe uwe wa wastani ili umma na mataifa yakutambue, kuliko kupambana na hali ya kutafuta watu wakufanana na Lissu kutoka ccm.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
Hata mimi ktk fani yangu ni wa wastani bado sijabobea!
 
Mke wangu ana mimba nategemea mtoto atakaye zaliwa ntamleta Chama cha makinikia aje apambane na Lisu.. Wengine hamna hapo.
 
Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.

Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?

Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.

Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
 
Kuna wagonjwa jinsi walivyomahututi, inafikia uamuzi bora akate roho kuliko kuteseka hapa duniani! CCM imefikia stage hiyo!
 
Back
Top Bottom