Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hilo tamko naona ni feki kwa asilimia 95 na linaweza kuwa la kweli kwa asilimia 5.
Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.
Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.
Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wale wajinga walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.