Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Nimeamini CCM imeshikwa kooni sana juu ya hii hoja yakuvunja mkataba bila kufuata taratibu...Hakuna anayeigusa mbali ya kumshutumu TL mtu wa watu....
 
Wanaacha kuhangaika na waliotufikisha hapo wanahangaika na Lissu, viwanda ni ndoto tusahau
 
Ni Tundu Lissu na siyo "Tundu Lisso"kama ulivyoandika una haraka ya wapi,leo malipo madogo nini,Lissu kashika panapouma
 
Yote hufanyika tu, vile mwenye mbwa yu mpumbavu, katika kundi wa wajinga, vile aliamua kupuuza kila kitu mpaka maonyo, na kuona anaweza kummudu mbwa ili hali uwezo huo hakuwa nao. Kwahali hii lazima uonekane kituko kama sio kichekesho kwa watoto.

"PAMBANA NA HALI YAKO"

"Wachawi" Wa Afrika sio wale wanaodaiwa kudhibitiwa na akina "dokta" lambalamba,manyaunyau,Bali wale wanaoshirikiana na mbwa kuiba chakula cha watoto. Hao "wachawi" ndio tatizo letu kuu. Basi,kila mmoja ajihoj: mimi nafasi yangu ni ipi?
Huyo Padri wako kwa hiyo tafsiri yake sio Kweli, Kutafakari biblia yahitaji roho wa Kweli akae nawe, kwa tafsiri hiyo kondoo mnazidi kupotea, Usitafsri biblia kama Biology au Hesabu imekula kwenu, Rudi tena soma vizuri utaelewa au nitakushushia nondo za tafsiri toka kwa wataalamu wa maandiko neno Mbwa lilivyotumika siyo Mbwa unayemjua wewe
 
Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.

Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?

Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.

Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Mmeanza kubadiri hoja tatizo lenu hamtumii akiri mlizopewa na Mungu mmeacha ubongo wenu umetuma kama dimbwi la maji machafu kisa kumtegemea Tundu Lisu afikiri kwa niaba yenu sasa mnavuna aibu tupu tundu lisu atakuja kuwapeleka shimoni tumieni bongo zenu vima nyie !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka huo ushahidi tuuone acha kutuletea hisa zako
Mkuu hawa watu sijui walilogwa au ni umbumbumbu. TL anatumika how? Kama sio TL wananchi wangejua lililopo mbele ya uso wetu. Hivi nani huwa anawatuma kuandika upuuzi huu. ccm safari hii mmeumbuka ombeni msaada wa kisheria yasiibuke mengine.
 
Fidia kwa
1: kubomoa kituo cha mafuta Mwanza bila kufuata sheria.

2:Meli ya samaki ya wachina

3:Ujenzi barabara Bagamoyo- Wazo

4:Uuzaji wa nyumba za serikali

5:Mv Bagamoyo

I never trusted that Chato man decisions at all.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi thread za lissu zimezidi ccm mnatusumbua humu.
 
peleka mswada wa kutoa kipengele cha haki ya kupata habari.
 
Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Kama kutumika KUNALIPA, na wee katumike..
Nonsense and Rubbish.
 
Martin George NAONA UMEJIPA KAZI YA KUMJIBU LISU, SASA KWA MAJIBU HAYO MKUU MBONA USHAFELI.. SASA HYO MAMBO UNAYOTAJA NDIYO INAPANGUAJE HOJA YA DEGE KUSHKIKIWA? INGEKUWA JAMBO LA UONGO SAWA, LAKN MSEMAJ WA SERIKALI SI AMETHIBITSHA
 
[QUOTE="Martin George, post: 22959782, member: 436968"
broooo,si kwmba hamna watu kama hoa sema wengi ni waganga njaa mfano prof Kabudi ulimpende akiwa nje alikuwa anapanga hoja mpaka povu linamtoka sahv kila kitu raisi ni head of state,head of gvt and command in cheif sasa mtu huyo ataongea nini?km kila kitu kamuachia head of gvt.
 
Huyo Padri wako kwa hiyo tafsiri yake sio Kweli, Kutafakari biblia yahitaji roho wa Kweli akae nawe, kwa tafsiri hiyo kondoo mnazidi kupotea, Usitafsri biblia kama Biology au Hesabu imekula kwenu, Rudi tena soma vizuri utaelewa au nitakushushia nondo za tafsiri toka kwa wataalamu wa maandiko neno Mbwa lilivyotumika siyo Mbwa unayemjua wewe


Nimeeleza vizuri maana ya mbwa aliyoikusudia Yesu.Ni kule kuachana na lengo kuu na kuanza na kuhangaika na kila unaloliona na kulisikia. Ni kushindwa kuwa focused kwa jamii,famlia,Taifa kwa ujumla.Tafakari ni ndefu.Mbwa anaweza kutumika kueleza mengi
 
Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.

Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?

Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.

Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Naona unachanganya mambo, labda utusaidie kama wewe ndio ungeteuliwa kuwa Waziri wa ujenzi wakati ule badala ya Magufuli na kuikuta kesi iko mahakamani ktk hatua za mwisho, je ungefanya nini?!!!!
 
Inaoneka ukianzisha Uzi wa kumponda TAL unapewa Bk14 badala ya Bk7.

Nani alisaini mikataba?
Nani alivunja mikataba?

Ukinijibu narudiiiii


Ndukiiiiii
 
Back
Top Bottom