Mmeanza kubadiri hoja tatizo lenu hamtumii akiri mlizopewa na Mungu mmeacha ubongo wenu umetuma kama dimbwi la maji machafu kisa kumtegemea Tundu Lisu afikiri kwa niaba yenu sasa mnavuna aibu tupu tundu lisu atakuja kuwapeleka shimoni tumieni bongo zenu vima nyie !
Sent using
Jamii Forums mobile app
Unafahamu mkuu hawa wapinzani hawajatambua watumie vigezo na mbinu gani ili waweze kuwaelewesha wananchi tofauti yao wao na serikali iliyopo.
Yaani wao wakiwa na serikali siku moja Mungu akiwaajalia watafanya mambo kadha wa kadha na kadha.
Hii ndiyo mbinu kubwa inayotumiwa na wapinzani kote duniani iwe nchi zilizoendelea au nchi zinazoendelea.
Tatizo kubwa la wapinzani wa nchi zinazoendelea Tanzania ikiwemo ni kwamba wao wanakuwa rahisi kutekwa na mapebari na makabaila ili kuweza kushika madaraka.
Ndiyo maana mabepari wanaowakilishwa na haya makampuni makubwa na makabaila ambao ni wale watu wanaotawala kwa kutumia ardhi kama Edward Lowasa, Frederick Sumaye na wengine wa nje wanakuwa rahisi kuwatumia watu kama Tundu Lissu lakini kwa uangaaiifu sana.
Siku zote huwezi ukakaa na mzungu halafu mkubaliane kitu chochote kwa manufaa ya wote bali ni kwa manufaa ya wachache.
Na Tundu Lissu anadhihirisha hilo kwa kukaa chini na hao wazungu ili kujadili namna ya kumhujumu raisi John Magufuli kwa kutumia sababu ambazo zingine si sahihi.
Wapinzani wanatakiwa siku zote kujifunza kuweka mambo mbadala ya kufanya tofauti na serikal iliyopo na wakawa wanawaeleimisha wapiga kura.
Upinzani wa Tanzania na khasa wa leo ni wa wale wachumia tumbo na watafutaji matatizo kwa kuongea uchonganishi baina ya serikali na wanannchi huku wakitegemea kupata huruma kutoka kwa haohao wananchi.