LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Hatuhitaji kujua nani alikuwa waziri ila najua Ccm ndiyo ilikuwa chama tawala...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Name calling of such extent, is not acceptable.
Acha kumtetea dikteta uchwara dah!
Wapinzani wanaelewesha wapiga kura kama wewe hutaki kuelewa hilo ni tatizo lako binafsi, jiongeze.
Amaa kweli mumemwagwa kwa kazi maalumu ya kumshambulia lissu ambaye hana hata hatia ila mnakazana tu kukwepea tuhuma kwake maana haipiti saa mada inayo muhusu lisu inashushwa hapa polen sana wajinga nyie.Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
..is this for every citizen of our country?
..au "mzee" yeye ana haki ya kutoa kauli vile anavyojisikia?
Alianza kutumika lini na nani alikuwa wa kwanza kumtumia?Tundu lissu anatumika sana mwishoe watamchoka mana hana madhara yoyote katika masakata anayoanzisha hata hili litapita mana si mnaendeshwa kwa mizuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah , msumari umepenya mpaka kwenye mfupa
Mkuu wapo wengi tu ila wakiingia ccm wanawaharibu akili angalia walivyowaharibu jaji mutungi na wengine wengi tu
Nikikuita mbwa mpumbavu nitakuwa nimekosea? Haiingii akilini mpishi wa hilo pishi lililotarajiwa kuliwa na kuzaswa ili mbwa mle awalishe mbwa lote as if aliambiwa awapikie mbwa! Kisha mpishi huyo yupo tu barazani kwa bwana akipunga upepo!
Ile mahakama ya mafisadi haikuwafaa wapishi wa haya madeni? Kama sivyo mliziazisha kutuzuga?
Katiba mpya ilitufaa sana lakini kwa ulaku wa kushare makombo mliivuruga huku mkijua mlitendalo eti imani itawaponya!
Tutaheshimiana tu kwa kufukua huku makaburi! Jipangeni enyi mnaoishika biblia mkono wa kushoto huku mkono wa kuume ukishikilia sandarusi iliyojaa fedha za wizi! Hamtapona kwa dhihaka hii mnayomfanyia Mungu wangu aliyehai.
Acha upumb*v Kutia Hasara Taifa ndio uzalendo?mlio wengi wewe na nani? hivi kila mtanzania bu waziri?
hivi baada ya uchaguzi kuisha bado vinyongo na visasi vimeendelea kuutafuna upinzani hadi kiasi cha kutoona maslahi ya taifa kwa upana wake?shame on all of you idiots fusasinism
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunadaiwa au hatudaiwi?Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Hawajui sheria na haki zao kama Tucta,cwt au wahanga wa tetemeko/bomoa bomoa?
Makampuni yanayo jitokeza sasa kuishitaki na kuidai serikari yameshawishiwa na Lisu na amewapa msaada wa kisheria