Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Makosa yalitendeka kipindi akiwa waziri !!kama asingekuwa rais leo nani anagelipa deni hili?shame on you pepole!!wanafiki wakubwa sana kabisa.kipindi cha kapeni mbona hamkusema kama kuna deni tunadaiwa na lilisabababishwa na waziri Magufuli!!since 2015 up to early August 2017 mbona hamkuja na hoja hiii kuwa tunadaiwa hela hizo na kampuni hiyo ambayo yamkini ni matapoeli!!acheni chuki zenu binafsi .
HATA KAMA ASINGEKUWA RAIS LAZIMA DENI HILI TUNGELIPA UPENDE USIPENDE>>
NJONI NA HOJA NYINGINE!!
TUWE MAKINI TUNAPOINGIA KWENYE MIKATABA NA WAZUNGU AMBAO WENGI WAO HAWANA JEMA KWA MWA AFRIKA
Kwenye kampeni alisema ameisababishia Tanzania hasara??Kama hajasema imekuka kwake