Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Tatizo sio kosa la zamani, tangu uncle magu aingie madarakani maamuzi ya kibabe yasiyofuata utaratibu wa kisheria ndio imekuwa kigezo cha uthubutu wa kiongozi, sasa shida inakuja pale tunapoelimishwa umuhimu wa kutumia vigezo vya kisheria tunapofanya maamuzi, Na madhara yatakayopatikana kufuatia maamuzi hayo ya kibabe, tunachofanya Ni kumkamata mnenaji wa sheria Na kumfungulia mashtaka ya UCHOCHEZI halafu leo maono yanatimia tunaanza kuzungushazungusha macho.
Mbona mazuri hamyasifii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e0a3a5eb530e19e97ab851a88d067b1d.jpg


JPM KAMATA WEZI
 
Wakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hoja mubashara kabisa.

Hoja hujibiwa kwa, hoja ndio ukomavu wa kusiasa.
 
Sasa mnataka kujibu nini wakati kila wakati mnachafua hali hewa kwa wizi. Hivi mtu umelala pekee yako ukanya kitandani , wakija kukagua unaanza kujitetea kuwa siyo wewe. Wehu nyie ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.

Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?

Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.

Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Kwani unapotka hukumu unamlenga aliyopo madarakani au kosa lililotendeka? Sasa kosa limeshatendeka na Kawamvwa unataka Magufuli afanyeje sasa? Jenga hoja zenye akili acha ubabaishaji..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tamko naona ni feki kwa asilimia 95 na linaweza kuwa la kweli kwa asilimia 5.

Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.

Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.

Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wale wajinga walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.
Hiyo si hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi aliyoyasema Lissu ndio matokeo ya haya yote yanayoendelea..!!

Kweli kelele za chura wanazozisema leo tembo kakimbia maji...maajabu haya
 
CPengine" hapo ndio penye jibu la hoja yako. Ccm inaamini kwenye PhD na "Professorlism" ikiacha ubobezi. Sasa kama na wewe ni mbobezi kwenye "fani yako" tambua kwa sasa "vyuma vimekaza" husiforce Kabudi au Tulia kafanana na Lissu.



"PAMBANA NA HALI YAKO"
Kwa Kabudi Lissu ' chamtoto' saaana! Labda ungesema Chenge.
 
John Magufuli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mhe. Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli



5th President of Tanzania
Incumbent
Assumed office

5 November 2015
Vice President Samia Suluhu
Prime Minister Kassim Majaliwa
Preceded by Jakaya Kikwete
Minister of Works, Transport and Communication
In office

28 November 2010 – 5 November 2015
President Jakaya Kikwete
Preceded by Shukuru Kawambwa
Succeeded by Makame Mbarawa
In office
November 2000 – 21 December 2005
President Benjamin Mkapa
Succeeded by Basil Mramba
Minister of Livestock and Fisheries Development
In office

13 February 2008 – 6 November 2010
Preceded by Anthony Diallo
Succeeded by David Mathayo David
Minister of Lands and Human Settlements
In office

6 January 2006 – 13 February 2008
President Jakaya Kikwete
Succeeded by John Chiligati
Member of Parliament for
Biharamulo East and Chato
In office

November 1995 – July 2015
Succeeded by Kalemani Medard
Personal details
Born
29 October 1959 (age 57)
Chato, Geita, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM (1977–)
Spouse(s) Janeth Magufuli
Children
Joseph Magufuli

Jesca Magufuli
Residence Ikulu, Dar es Salaam
Alma mater University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Nickname(s) Tinga tinga (The Bulldozer)[1]
Twitter handle MagufuliJP
Military service
Allegiance
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Years of service July 1983–June 1984
John Pombe Joseph Magufuli (born 29 October 1959) is the President of Tanzania, in office since 2015.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2006, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.[2]

Standing as the candidate of the ruling CCM, he won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015


Sasa kwanzia leo tuache kumsingizia rais wetu kipenzi cha wanyonge !!!
 
Kama kweli serikali wameamua kujibu hili basi wajibu na yote anayosingiziwa. Ya meli, samaki na nyumba za serikali. Hii ya kuchagua cha kujibu inaleta utata.
 
Tatizo letu liko kutanguliza mahitaji yetu pekee huku ya Taifa tukiweka pembeni.Hizi fidia zisingekuja ikiwa watu wetu wa sheria wangezingatia zaidi maslahi ya watoto.I-wazi kuwa baadgi ya watu walihakikishiwa chao ili "mbwa" wazoe chakula yetu.Hilo la Makanikia kufunguliwa shauri ni kutaka kwenda katika mkondo ule ule: ku-compromise watakaoenda huko kwenye usuluhishi ili Serikali ionekane haikufuata taratibu.
Nikweli lkn Dawa sio kukurupuka nakuitia Hasara Nchi...sikuna Taratibu zipo zakuepukana na Hasara za kijinga namna hii? Mwisho tutaanzishiwa maKODI
ya ajabu ili kulipa madeni ya Hovyo
hebu niambie 87b zinaenda kulipwa kwa MTU ambae hakufanya Kazi manake huyu analipwa hizo ukijumlisha na zile za Mjenzi aliemalizia ile Kazi unaweza
kuona kwa Kiasi gani kama Taifa hatusogei!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom