Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kwenye kila chaguzi nchini idadi ya Wabunge na madiwani a upinzani wamezidi kuongezeka.

Katibu Mwenezi wa MACCM katamka hadharani kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki basi MACCM wajiandae kukabidhi Ikulu.

Rasimu ya Warioba wanaiogopa wakaamua kuichakachua. Dikteta uchwara anasema katiba mpya si kipaumbele chake utadhani ana hati miliki ya Tanzania! Kabudi anadai katiba mpya itapatikana wakati muafaka bila kutoa ufafanuzi huo wakati muafaka ni upi baada ya uhuru wa miaka 56 na miaka 25 ya mfumo wa vyama vingi.

Kuna ombwe kubwa la uongozi nchini. Huyu jamaa uongozi wa nchi umemshinda na siyo siri madudu kila kona. Mara kawaita Mawaziri wake wapumbavu lakini yeye ndiye mwerevu pamoja na werevu wake bado kateua wapumbavu! Ni janga kubwa la Taifa huyu.

Dah! Chief umenikumbusha mbali sana hii clip.

Lakini hayati mwalimu hakuwa akisema ukiwa mpinzani basi uwe unatumia vigezo visivyo sahihi, unatakiwa kujipanga katika kumdhibiti kiongozi na kwa mtindo wa wapinzani wa kwetu wanakosea sana.

Inabidi wajipange upya ni mtindo tu wa uwasilishaji mada si vinginevyo, wakitoka kwenye hili basi wataonekana wamekomaa.
 
Tanzania Ni Nchi Ya Ajabu Sana Siku Zote Taifa Hili Wananchi Wake Hupenda Kudanganywa Akitokea Msema Ukweli Huchukiwa Sana Mfano Mdogo Kafulila, Hivi Ile Hasara Ni Pesa Za Nani Zinalipwa? Ccm Wanajivunia Wapumbavu Wa Taifa Hili Taifa Linaendelea Kupata Hasara Mmoja Anashawish Watu Waone Hasara Kwa Taifa Ni Jambo La Kawaida Kwa Nini Yanatumbuliwa Majipu? Taifa La Hovyo Sana Makodi Yasiyo Na Vichwa Wala Miguu Kumbe Watu Wanavunja Hovyo Mikataba.
Umeongea ukweli mtupu....

Wakati wabunge wa CCM wakimtukana Kafulila na kumuita Tumbili, huyu Mheshimiwa wetu alikuwemo Bungeni na alikuwa kwenye timu ya CCM waliokuwa wanamskama sana Kafulila hadi kumtishia maisha yake!

Cha kushangaza majuzi amefanya ziara Kigoma, anafanya unafiki kwa kujidai anamsifu Kafulila kuwa ni "mwanaume" na kudai eti waliomuita Tumbili ndiyo hao matumbili!

Hebu tumuulize swali jepesi Bwana mkubwa wetu , hivi siyo yeye aliyempandisha cheo Jaji aliyehukumu kesi kwa kutupilia mbali madai ya Kafulila aliyokuwa analalamika kuwa matokeo yaliyompa mpinzani mwenzake wa kiti cha ubunge wa Kigoma Kusini yalikuwa yameghushiwa?
 
The name is very quoted there for all to see.

Unataka kumaanisha waafrika wakitumia hilo neno baina yao ni sawa siyo?

..SIYO SAWA.

..mimi sijali rangi, kabila, jinsia, utaifa, au nafasi ya mtu.

..lugha chafu, matusi, kejeli, havifai kutumiwa na mtu,au dhidi ya mtu, yeyote.

..kwa hiyo namlaani huyo aliyemuita bwana mkubwa jina baya.

..ila sasa nimekueleza kwamba bwana mkubwa naye ana tabia ya kutoa kauli za hovyo-hovyo.

..sasa je wewe ndugu yangu Richard, uko tayari kuzilaani kauli za hovyo-hovyo za bwana mkubwa?
 
ila wejitahidi kuivunjilia mbali hoja ya Lissu ya ushiriki wa Magufulu katika usitishwaji wa mkataba wa ujenzi wa barabara...nice!
 
Hilo tamko naona ni feki kwa asilimia 95 na linaweza kuwa la kweli kwa asilimia 5.

Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.

Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.

Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wale wajinga walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.
IMG-20170820-WA0023.jpg
 
Heri Tumbo la wamama wanaotambua kuwa jinsi waiisivyo wakiwa wajawazito ndivyo na watoto watakaozaliwa watakavyorithi sehemu ya mienendo ya mama zao.

Heri matumbo yanayobeba ujauzito sasa huku yakijipanga namna ya kuja kuhakikisha watoto wao hawavutiwi na ufisadi wa nafsi na akili
Imani hizi ndizo zilzolifikisha taifa hili kwenye anguko tulionalo sasa kwa kutuaminisha kuwa tawala na wateule tulionao ni chaguo la Mungu! Sikushangai kwa kumezeshwa utomvu badala ya asali! Endelea kutupa vifungu ulivyokaririshwa jana na leo.
 
..mimi sijali rangi, kabila, jinsia, utaifa, au nafasi ya mtu.

..lugha chafu, matusi, kejeli, havifai kutumiwa na mtu,au dhidi ya mtu, yeyote.

..kwa hiyo namlaani huyo aliyemuita bwana mkubwa jina baya.

..ila sasa nimekueleza kwamba bwana mkubwa naye ana tabia ya kutoa kauli za hovyo-hovyo.

..sasa je wewe ndugu yangu Richard, uko tayari kuzilaani kauli za hovyo-hovyo za bwana mkubwa?

Ndiyo, bwana mkubwa anaendelea kupata ushauri wa namna ya kuwasilisha ujumbe wake kwa watu wa aina zote.
 
Hili ni ombwe kubwa la uongozi nchini. Siku ya tatu leo kwanini anajificha Ikulu badala ya kufanya news conference ili kujibu maswali yote ya waandishi wa habari!? Anaogopa nini?


..wanaosambaza habari za UONGO kuitetea SERIKALI ni vijana wa UV-CCM wanafanya hivyo kwa NIA NJEMA.

..wasemaji wa serikali wameshindwa kazi ndiyo maana imelazimisha UV-CCM waingie kazini na kusambaza URONGO.

cc BAK
 
Hebu fikiria mtu unamwita raisi wako hilo neno eti kwasabau tu unatumia Kompyuta ukiwa nje ya Tanzania.

Ni hasira gani hiyo uliyo nayo juu ya huyu kiongozi?

Kila binadamu ana mapungufu yake na hata wewe ungekuwa kiongozi leo ni lazima ungekuwa na kasoro zako.

Lakini kwa hii ya name calling umekwenda too much step brother/ sister.

Tafakari.
Noted and edited Mkuu....nothing personal I just wanted to express my opinions
 
Back
Top Bottom