So ni Mpuuziiiiiiii!Umeandika upuuzi
So ni Mpuuziiiiiiii!Umeandika upuuzi
Katika maendeleo ya nchi hii hakuna mambo ya vyama wala Siasa ni aina ya viongozi na nia zao za kuiendeleza nchi hii.
Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly lo angekuwa
Yote hufanyika tu, vile mwenye mbwa yu mpumbavu, katika kundi wa wajinga, vile aliamua kupuuza kila kitu mpaka maonyo, na kuona anaweza kummudu mbwa ili hali uwezo huo hakuwa nao. Kwahali hii lazima uonekane kituko kama sio kichekesho kwa watoto.Uzalendo hupimwa kwa mawanda mbalimbali kutoa tahadhari kukiwa kumojawapo.Lakini yafaa nini kuonya kisha kufurahia watoto kukombewa chakula chao na mbwa? Yafaa nini basi kuonya na kukemea kisha upige "kengele" kushabikia chakula ya watoto kubebwa na mbwa?
Je,yafaa uzalendo wa kiasi hicho kukenua meno hadi magego kusikia chakula cha watoto kimesha kwidwa na mbwa?
Weka huo ushahidi tuuone acha kutuletea hisa zakoNi dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Weka hapa huo ushahidi!Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Kaka hilo unalosema ni kweli kabisa kuna watu wanahujumu taifa hili, inawezekana vipi mikataba iliyowekwa kisheria inafutwa kienyeji?, huko si kuhujumu taifa kweli?Maendeleo ya nchi kwa historian yake yanahujumiwa na watanzania wenyewe toka upate Uhuru mwaka 1961.
Tumepitia vipindi vingi sana vya kupambana wenyewe kwa wenyewe Katika kuwaletea maendeleo wanainchi kutokana na baadhi ya watanzania kutopenda kuona Serikali yetu inafanya vizuri.
Wengine mpaka walishakuwa wakimbizi wa kisiasa nchi za ulaya toka utawala wa Mwl Nyerere kwasababu ya kutofautiana kwa mitazamo ya Siasa za nchi.
Baada ya hapo tumeona viongozi wanajilimbikizia Mali na kuwaacha watz na umasikini wa kutupwa.
Misaada mingi imetafunwa na kuandika report za uwongo kwa wafadhili ili mradi tu Serikali ionekane haifai.
Kumekuwa na tabia ya kuiba nyaraka za Serikali na kuwapa watz wasiokuwa na mamlaka kisheria kuwa nyaraka hizo ili tu kuonyesha Serikali haifai kuongoza.
Haya mambo yasipodhibitiwa kama Taifa basi Kuna siku hatutaelewa nani ni mkweli ktk taarifa kwa wanainchi Kitu ambacho ni hatari sana kwa AMANI ya nchi na Taifa kwa ujumla wake.
Watanzania wanahitaji Huduma nzuri za jamii..Elimu,Afya,Maji,Barabara na Huduma nzuri na bora kutoka ofisi za umma mfano Mahakama,Halmashauri zetu,Taasisi zake na bila kusahau Huduma za Majeshi kama Polisi Uhamiaji na Jeshi la zimamoto n.k
Hilo tamko naona ni feki
Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.
Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.
Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wajina wale walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.
Nadhani anataka nchi tumpe Lowasa ndio atulie.
Nilimdharau sana aliposema alikua si kitu Mungu kamuona kupata u waziri!Yule Kabudi Mzee wa Kubangazana kumbe naye mweupee!