DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Nimeota ndoto hii mwenye weledi anifasirie..
Tuna kiongozi wa nchi ambaye hataki mchezo, ukikosea anakuadabisha hapo hapo hata kama ulikosea miaka kumi iliyopita utawajibishwa tu.
Sasa kuna mtu aliyekuwa na mamlaka katika wizara ya ujenzi , mwaka 2009 wakati mkataba wa barabara ya bagamoyo ukivunjwa.
Kuvunjika kwa mkataba huu kumepelekea one of president special project kufail kiwakati. Namaana ndege kung'ang'aniwa na kutishiwa kupigwa mnada huko canada.
Nasubiri huyu waziri wa kipindi hicho atakapo wajibishwa na mtukufu raisi hawezi kukosea kwa kiwango hicho na kulipaka tope jina la nchi yetu Tanzania.
Hii ndoto ina majibu yake...
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app