hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,786
- 824
Inawezekana ww ndo ukawa c mzalendoHana uzalendo kwa kuungana na wanaoihujumu Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ww ndo ukawa c mzalendoHana uzalendo kwa kuungana na wanaoihujumu Tanzania
Zilikua mitumba zile, nani akamate mitumba? Baada ya kuzodolewa kuwa wanatununulia mitumba kwa bei ya Mpya ndo wakaamua kununua kapya, hapo ndipo mwenye Mali akaona hapo ndipo pakupata ule utajiri wa mzembe moja hivi.Hili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.
Is this not an inside job of the traitors?
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570830
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na taarifa za kuzuiwa kwa ndege ya Serikali aina ya Bombadier ambayo inatengenezwa nchini Canada. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)
Na Mwandishi Wetu-MAELEZO
Serikali imethibitisha na kuwahakikishia Watanzania kuwa ujio wa ndege mpya ya tatu aina ya Bombardier Q400-Dash 8 upo pale pale licha ya baadhi ya wanasiasa wasio wazalendo kutumia kila njia kukwamisha ujio huo.
Kauli ya kuthibitisha ujio wa ndege hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bi. Zamaradi Kawawa wakati akiongea na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam.
Alieleza kuwa kuchelewa kwa ndege hiyo ambayo ilitakiwa kuwasili mwezi Julai mwaka huu kumetokana na majadiliano yanayoendelea ambayo kimsingi yamechangiwa na baadhi ya wanasiasa wasio wazalendo kushiriki kwao moja kwa moja kuweka zuio mpaka pale majadiliano yatakapo kamilika.
“Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wenye maslahi binafsi wanapiga vita ndege hii kuletwa nchini lakini Serikali inawahakikishia wananchi kuwa ndege itakuja na hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi”, alisisitiza Zamaradi.
Alieleza kuwa Serikali iliishapata fununu kuwa kuna kuna baadhi ya viongozi wa chama cha siasa wana mpango wa kukwamisha juhudi za ujio wa ndege mpya na kwamba bila hata chembe ya uzalendo, watu hao wamejidhihilisha wenyewe hadharani kwamba wapo nyuma ya pazia la kuhujumu jitihada za Serikali kwa maslahi yao binafsi.
“Serikali imesikitishwa sana kwa hujuma zinazofanywa waziwazi na kwa ushabiki wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa kisiasa kupingana na mwelekeo mzuri wa Rais wa kuleta maendeleo”, alieleza Zamaradi.
Aidha alisema kuwa Serikali imeanza kuchukua hatua za diplomasia na za kisheria kwa wote wanaoshabikia na kutengeneza migogoro na hujuma mbalimbali dhidi ya maendeleo ya nchi yetu.
Kwa mujibu wa Zamaradi, kuna wanasiasa waliokwenda kufungua madai kwamba Serikali ya Tanzania inadaiwa na kwamba ndege hiyo ishikiliwe hawana uhalali wowote wa kufanya hivyo na ni vibaraka waliotumwa na wapiga dili wasioitakia mema Tanzania.
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka baadhi ya wanasiasa Watanzania ambao wamekuwa wakitoa kauli zenye lengo la kuhujumu maendeleo ya nchi ikiwemo kushawishi wafadhili kuinyima misaada Tanzania lakini pamoja na jitihada hizo, washirika wa maendeleo wameendelea kuongeza misaada kwa Tanzania kutokana na kuridhishwa na hatua mbalimbali za Serikali katika kupambanana rushwa na ufisadi na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.
Chanzo: Habari leo
Uyu mchungaj anastahili sifa.Nimefurahi kweli leo kusikia mchungaji anawahimiza waumini wake kuwa wamwombee wakili msomi Tundu Lissu dhidi ya watesi wake. Hakika nami nasema Mungu ampe maisha marefu Tundu Lissu.
Wakati wa ndege za kwanza? Sikumbuki vyema ila itakuwa bado yalikuwa hayajashikwa.
Yalivyokamatwa Yale ndio sokosoko lilianza, vichwa vikakaa, Lisu amongst them bila shaka, wakacalculate namna ya kuiumiza nchi ili alaumiwe presdaa.
Hivi kwa Akili yako ndogo kabisa mpka mwisho muanzilishi wa kitu falani na mtetezi wa kitu falani nani wa kuchukuliwa hatua?Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.
Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Jitoe fahamu kashaa waambia atanyamaza akiwa mfu ......" kila mtu kwa nafasi yake apaze sauti dhidi ya huyu...." tundu masheria antipas the legend lissu so just know tupooo weeengi zaidi ya ile 6mill kwenye uchaguzi haya amueni tuoneKwani huyo bwana mkubwa akiamua Lisu atafanya nini,?
Si itakuwa sawa na 2015 tu jinsi Lisu alivyoufyata mbele ya Mbowe na Lowassa?
......
Hatuna tabia ya kulipa Madeni tena Ambayo yapo kisheriaHili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.
Is this not an inside job of the traitors?
Anachokipigania kina maslah kwa Tanzania ikiwamo wananchi wa jimbon mwake.Lissu ni mwanasiasa mpumbavu tu. Badala ya kwenda jimboni kwake kumbana na umasikini uliokithiri wa ndg zake wanyaturu,yeye anapoteza muda kuibua uzushi kila kuchwapo. Ngoja 2020 aone kama atapata tena kofia ya ubunge.
Sent using Jamii Forums mobile app