Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,770
Ndugu, hujui unachokisema. Tunaipenda sana nchi yetu, ndiyo sababu hatutakaa kimya kuona watu wachache wanataka kuifanya ifilisike kwa maamuzi yao yasiyotumia akili bali nguvu kwenye karne ya 21.Rais kwa Tanzania ni mtu mkubwa sana. Kama kweli mnasema L angekuwa adui ya JPM kama JPM. LIsu ataponaje. Kuweni na akili na acheni kuweka maneno kwa Rais. Hivi kweli mtz unashangilia. mtz anayeshangilia majanga yetu. Ndo tulipofika kweli. Watz mahali pote hawatakiani mema wivu na malengo mabaya. Sasa wananchi tunsahau kama nchi ni yetu. Sasa tumekaa nia yetu nchi ishindwe kutawalika na sie tubaki nyuma tunaumia. Kutumiwa na mabepari ni dalili mbaya sana .endeleeni na siasa. Lakini kama mnataka maendeleo Watz lazima kupitia kaa La moto.
Wewe hujui kuwa viongozi wapenda sifa huwa ni hatari kwa mustakabali wa Taifa? Maana watafanya kila wawezalo kufunika uchafu wao chini ya zulia na mwisho wa siku ni kilio chetu sote!!!