Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Hahaahahahahahahhahaahhahahahahahahaha
Lakin si watakusanya wao ,,mim deni halihusuuuUnaelewa kwamba hizo billioni 80 unalipa wewe? pamoja na kulipa boda boda 30,000, pia unalipa na hizo billion 80 ambazo zimetokana na wao
Ahsante raisi wangu kwa kuliona hili
Kuzikusanya hizo watatoa jashoSivuti bangi kutoka nje ya Tanzania lakini najua hiz 80b tunalipa sisi wenyewe wananchi na sio wenye nchi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Aliyeshangilia ni nani na alishangilia wapi?Rais kwa Tanzania ni mtu mkubwa sana. Kama kweli mnasema L angekuwa adui ya JPM kama JPM. LIsu ataponaje. Kuweni na akili na acheni kuweka maneno kwa Rais. Hivi kweli mtz unashangilia. mtz anayeshangilia majanga yetu. Ndo tulipofika kweli. Watz mahali pote hawatakiani mema wivu na malengo mabaya. Sasa wananchi tunsahau kama nchi ni yetu. Sasa tumekaa nia yetu nchi ishindwe kutawalika na sie tubaki nyuma tunaumia. Kutumiwa na mabepari ni dalili mbaya sana .endeleeni na siasa. Lakini kama mnataka maendeleo Watz lazima kupitia kaa La moto.
Najiuliza tu ivi mzungu anaweza shinikizwa na TL akamate ndege, ndo maana inafikia maali mtu anakwambia treni imeshafirishwa mpaka DSM bila mteja kujulikana na watu wanaamini tukenya kuna upinzani ila sio wa kijinga kama wakina tundu lisu wakutakia mabaya nchi na kuwa abudu weupe, kuwashinikiza wakamate hiyo ndege, sijapata kuona ujinga kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Deal ya Lisu ilikuwa imetengenezwa ndege iuzwe, serikali kupitia waziri wa mambo ya kigeni, wakalistukia deal likabumburuka, mazungumzo yanaendelea ndege ilishaachiwa bila ya wapiga deal kujulishwa, walipo liamsha dude, wakakuta zamaani serkali ishaweka mambo sawa, tumewajua wapiga deal, kwani haya ndio maisha yaliyokuwepo kabla ya ujio wa Magufuli, tutawatambua mmoja mmoja na umma utwajua tu.Ccm walikuwa wanasubiri Siku ya mnada ndio watanzania wajue kwamba ndege inauzwa,lissu mzalendo na muungwana kaamua kutustua kwamba ndege yetu inauzwa halafu kuna misukule inamlaumu,sasa angekaa kimya wakati Mali ya Tanzania inataka kupigwa mnada
nadhani kuna haja ya kupima ufahamu wa watanzania maana hii ni zaidi ya siasa ni zaidi ya ujinga na upunguwani wa kupitiliza shame on you all behind this na hakika mtashindwa na kina manywele na matundu wenuWakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo ndege za ATCL huwa inahudumia wana ccm tu?Ndege ya ccm.mnaokwenda na mitisheti yenu.kwenye shughuli za maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais kwa Tanzania ni mtu mkubwa sana. Kama kweli mnasema L angekuwa adui ya JPM kama JPM. LIsu ataponaje. Kuweni na akili na acheni kuweka maneno kwa Rais. Hivi kweli mtz unashangilia. mtz anayeshangilia majanga yetu. Ndo tulipofika kweli. Watz mahali pote hawatakiani mema wivu na malengo mabaya. Sasa wananchi tunsahau kama nchi ni yetu. Sasa tumekaa nia yetu nchi ishindwe kutawalika na sie tubaki nyuma tunaumia. Kutumiwa na mabepari ni dalili mbaya sana .endeleeni na siasa. Lakini kama mnataka maendeleo Watz lazima kupitia kaa La moto.
Ni rahisi kumpuuza Baba Jesikana si TL, kil akisimama kuna watu matumbo joto. Tuifanye inji hii kua ya bayana muda wote, tunadaiwa hatudaiwi?. kama tunadaiwa msababisha deni nani? na anawajibikaje?. Ahsante lisu kwa kutujulusha ungese wa huu utawalaTUNDU ANTIPAS LISSU siyo wakupuuzwa hata kidogo!
Angalia kama unaweza kupuuza hoja zake!
mkuu wapi hapo?? hebu nipe kavideo nishangilie....Nimefurahi kweli leo kusikia mchungaji anawahimiza waumini wake kuwa wamwombee wakili msomi Tundu Lissu dhidi ya watesi wake. Hakika nami nasema Mungu ampe maisha marefu Tundu Lissu.
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570220
View attachment 570219
Sasa kama kwenye shughuli.za maendeo mnakwenda na magauni yenu ya ccm.si ina maana ni maendeleo ya ccm peke yake.kwa hiyo ndege za ATCL huwa inahudumia wana ccm tu?
nenda kwa aliyekuroga akakuague
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wenyewe wanyonge tunashangilia matajiri ambao ni watanzania wenzetu wakifilisiwa hata kwa kuonewa....kisa wote tuwe maskini. sasa kama tunataka wote tuwe maskini, acha tufilisiweRais kwa Tanzania ni mtu mkubwa sana. Kama kweli mnasema L angekuwa adui ya JPM kama JPM. LIsu ataponaje. Kuweni na akili na acheni kuweka maneno kwa Rais. Hivi kweli mtz unashangilia. mtz anayeshangilia majanga yetu. Ndo tulipofika kweli. Watz mahali pote hawatakiani mema wivu na malengo mabaya. Sasa wananchi tunsahau kama nchi ni yetu. Sasa tumekaa nia yetu nchi ishindwe kutawalika na sie tubaki nyuma tunaumia. Kutumiwa na mabepari ni dalili mbaya sana .endeleeni na siasa. Lakini kama mnataka maendeleo Watz lazima kupitia kaa La moto.
Mkuu pole,kumbe tuko wengi.yaani naiona hasira yako kwenye haya maneno!Wala usimchambe.hiyo ndege ni yenu nyie ccm lubuva na magufuli.lini mlalahoi kama sisi tutatumia hela zitokanazo na ndege,hazitusaidii.tiba hakuna,elimu kwa watoto wa maskini mikopo imefutwa,iliyopo ni ya watoto wa makada wenu.unajitoa ufahamu kwakua Canadians wamewashusha ngiri ? Huchambi mtu hapa !mijiofisi yenu na mijengo ya kijani hamlipii kodi,hela ya kumfikia maskini itatoka wapi ? Majitaka tu hatupati nini maji safi na wakati nchi ina kila utajiri.mlichokalia nikujineemesha nyie tu alafu unatuimbia wimbi wako uliopooza eti elimu ya uraia.uraia upi na mnaowatosa ruvu mnawaita wahamiaji haramu?mngewathami kama raia mngewatos majini mnaujua uraia na elimu yake nyie ?mtu akimueleza raisi ana njaa anamkebehi nikakupikie,kwani kaomba apikiwe tena na raisisi,kwani yeye hajui jikoni,tena apikiwe na raisi hajiheshimu kujua huyo ni raisi ? Sasa maneno yake ya uropokaji yamemvua heshima anayoilazimisha.hapewi na hataipata.ataishia mibavu yake hiyo na udikiteta tu.ccm mnaujua uraia mngechinja watu kama mbuzi!mnge vamia Zanzibar nakutawala kama makaburu ! Siku zenu zipo kwenye ncha ama ivunjike au iwachome.wanga wa dunia nyie mnazulumu hadi Canada ! Kwenda zenu na uraia wa kijinga huo.
Sent using Jamii Forums mobile app