Ivi tuseme kama utaratibu ungelikua unafuatwa vzr katika mikataba hata mtu angeshabikia makampuni ya nje ingeleta shida gani kwa taifa au labda niulize maswali kidogoWeka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
1 aliyetangaza tenda ni nani?
2 aliyesaini mikataba na haya makampuni ni nani?
3 je alisaini kwa makubaliano yapi?
4 je aliyevunja mikataba na haya makampuni ni nan
5 je kipindi anasaini mikataba alikua kashikiwa bunduki
6 je kwenye maswali yangu hapo juu kuna sehemu lisu alihusika?
Nikipata majibu ya hapo juu nami nahic ndo naweza kupata wa kumraum
7 nani anapaswa kuraumiwa?
sent from makinikia