Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Lumumba FC Uwezo wa kufikiri umeisha sasa wanaendekeza matumbo yao. Taifa kwanza ushabiki maandazi haufai
 
Sijui unazungumzia hasara gani hv kumwajibisha mtu ambae mmekubaliana tena kwa mkataba then akavunja ndio kusababisha hasara? tatizo tunawanasheria wapumbavu wasiojua wanafanya nn wao ndio kila kukicha watatusababishia hasara tu
Ndio maana nitaendelea kusema Tanganyika hakuna wasomi bali kuna watu wanamiliki vyeti vya viwango tofauti vya elimu
Mbna mnasingizia wasio husika? Mlianza wanasiasa sasa mmegeukia wanasheria!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais hewaaaaaaaaaaaa

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kama wakina mramba walifungwa kwa kutusababishia hasara ya 9billion, utakuwa ni upumbavu kumuacha huyu aliyetisababishia hasara ya ya mara nane yake.

Haiwezekani sisi tuneemeke kulipa kodi alafu mtu atutie hasara kubwa hivyo na aendelee kutuongoza bila kumuwajibisha. Alafu isitoshe yeye halipi kodi. Sisi ndyo tunajua machungu ya iyo kodi. Sis ndyo tuna jua machungu ya kukosa madawa hospitalini, sisi ndyo tunajua machungu ya kukosa huduma za msingi za kijamiii.

Kwa hesabu za haraka haraka hii pesa ingeweza kujenga hostel 160 kama zile Mpya za UDSM ( kama ni kweli kila jengo liligharimu million mia tano)

Zingekuwa nchi zilizoendekea, kwa hii kashfa tu, magufuli alitakiea astep down bila shuruti. Na kibaya zaidi hii si mara ya kwanza kwake. Inamaana tuendelee kusubiri kunamengine yanakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi ukamwajibisha hiyo bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa ufipa na baavichaa wanafurahia nchi kupata hasara....hahahaha
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Akili ndogo inapotawala kubwa uongo upo peupe kwani wanasiasa wapi waluoenda kudai pesa ama ishikiliwe ndege?
Wanachodaiwa ni uongo? Deni limetengenezwa? Na wanasiasa wa hapa halikuwepo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM anaweza kuwa na nia ya kweli ya kulisogeza mbele taifa ila game plan anayotumia ni weak, anashambulia zaidi bila kujilinda, hapo lazima ukae tu kama Arsenal. Benchi la ufundi hasa kwenye section ya sheria ni weak.
Kwali jamaa anashambilia Sana anasahau kujilinda apo lazima wamchape tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoniuma mie ni kodi ninayokatwa kila mwezi, kumbe kuna watu wanaoshangilia???
 
Back
Top Bottom