Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Bado bombadier....tujifunza kununua kwa kukopa with downpayment. Huku kununua kwa cash ni shida. mdai akishajua umelipa pesa yote anapata ujasiri wa kuzuia maana ni mali yako in fully.
 
Wanaingiza hasara Taifa harafu lawama wanaleta kwetu...kirahisi rahisi tuu kwa kuwa hawalipi kodi yeyote...
 
Tatzo hta hyo bilioni 80 sio yao mkuu ni ya watanzania

Philips X2560
 
Inchi hii watawala wamekuwa vipofu utadhani hawakuwakupitia ata darasa la saba jamani ivi wanasiasa wameingiliaje manununuzi ya ndege? Je wakati mnaenda kununua mliwashirikisha? Ninauhakika nyuma ya ujunga huu Kagame anahusika zaidi ya %100 Kwasababu hiyo Magufuli alimpa kazi ya udalali na ninachelea kusema kuna cha juu chake kwenye manunuzi.Mwisho tujiandae tumtoe kikatiba eidha maandamano au Bunge liingilie kati atakama kaliteka nyara wanayonafasi ya kujinasua.Tusipofanya hivyo vizazi vyetu vitaturahani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanalazimishwa kununua Efd kwa laki 8 kwa mtaji wa million moja...

Kwa ajiri ya kuwalipia watu deni nonsense issue kwa kweli ni upuuzi mkubwa......

Mi nadhani kwa hili bunge na mahakama wafanye kama kwa Zuma alipojenga kile kijiji kwa kodi za wa SA na huyu wetu arudishe pesa yetu.....
Aisee usikumbushe hayo ya efd maana hapa nina maumivu haswa
 
Kama wakina mramba walifungwa kwa kutusababishia hasara ya 9billion, utakuwa ni upumbavu kumuacha huyu aliyetisababishia hasara ya ya mara nane yake.

Haiwezekani sisi tuneemeke kulipa kodi alafu mtu atutie hasara kubwa hivyo na aendelee kutuongoza bila kumuwajibisha. Alafu isitoshe yeye halipi kodi. Sisi ndyo tunajua machungu ya iyo kodi. Sis ndyo tuna jua machungu ya kukosa madawa hospitalini, sisi ndyo tunajua machungu ya kukosa huduma za msingi za kijamiii.

Kwa hesabu za haraka haraka hii pesa ingeweza kujenga hostel 160 kama zile Mpya za UDSM ( kama ni kweli kila jengo liligharimu million mia tano)

Zingekuwa nchi zilizoendekea, kwa hii kashfa tu, magufuli alitakiea astep down bila shuruti. Na kibaya zaidi hii si mara ya kwanza kwake. Inamaana tuendelee kusubiri kunamengine yanakuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elimu ya darasani imetutia upofu sana ila ukweli ni kwamba iyo pesa hata kama imetoka mifukoni kwetu (kupitia kodi na tozo nyingine) ila sioni cha kusikitika

maana miaka yote tumekamuliwa kweli ila wajinga flani wametumia izo pesa kwa manufaa yao na kutuacha bila huduma za maana

leo ndege inakamatwa inabidi ufurahi maana wale wezi hawatapata pesa watazipeleka kulipa deni na sio kuzitumbua tena kama kawaida yao.
 
JPM anaweza kuwa na nia ya kweli ya kulisogeza mbele taifa ila game plan anayotumia ni weak, anashambulia zaidi bila kujilinda, hapo lazima ukae tu kama Arsenal. Benchi la ufundi hasa kwenye section ya sheria ni weak.
 
Huwa nafikilia sana juu ya uwezo wakufikilia hasa wanachama wa ccm sijui nikutuona watanzania wengi ni vilaza?ccm wana kela Sana hapo tundulisu anahusikaje,kututalifu wa tz au?
 
Sijui unazungumzia hasara gani hv kumwajibisha mtu ambae mmekubaliana tena kwa mkataba then akavunja ndio kusababisha hasara? tatizo tunawanasheria wapumbavu wasiojua wanafanya nn wao ndio kila kukicha watatusababishia hasara tu
Ndio maana nitaendelea kusema Tanganyika hakuna wasomi bali kuna watu wanamiliki vyeti vya viwango tofauti vya elimu
 
Back
Top Bottom