Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,554
- 9,380
Samweli mathayo , ulichokiandika wala hakina ufanano wowote na hali halisi inayotokea Tanzania
Ufanano upo sana , kama siyo sasa unakujaSamweli mathayo , ulichokiandika wala hakina ufanano wowote na hali halisi inayotokea Tanzania
Ikithibitika anyongwenasi tumnyonge bwana yule kuwa chanzo cha matatizo kila anapovunja mkataba, anaponunua ama kukamata kitu lazima taifa liingie hasara
Tundu amefanya nini,tugusie kidogo wengine siasa zimepita kushotoHabari zenu pitia hapa uone kuwa usaliti si mzuri
Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.
MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini isarael mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alinyongwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki isarael kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo Mr T.A.L anastahili adhabu gani?
Samuel
Nadhani Tanzania.italazimika kufuata mfumo huu ikitokea wakagundua wasaliti,
Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.
MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini Israel mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alinyongwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki israel kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo akitokea mtanzania msaliti anastahili adhabu gani?
Kati ya hizi?
*kunyongwa
* kufungua
*kupotezwa kimya kimya
Samuel
Unaelewa maana ya kibaraka au unaandika ilimradi???Bora uwe Kibaraka anayepigania maslahi ya nchi kuliko mzalendo anayeiangamiza nchi
Si lazima kuua hata vizuizi vipoLeo imefika Mahali Tanzania tunahitaji Utawala kama wa Iran au Pakistan ninachojua hizo nchi ni religious State wako na sheria zao Sharia we are Secular state.
Tunahitaji Uzalendo tu na kuipenda Nchi yetu ndo suala la Msingi,we kama binadamu huna mamlaka ya kutoa Uhai wa mtu mwingine dhidi ya kujitafutia laana Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
damu ya mtu inadai utaua leo je na wewe utaishi Milele??
Tunahitaji Umoja wa kitaifa basi ndo suala la msingi sidhani na sitegemei kama kuna mtu anachukia maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.Ivi aka katabia ka watanzania kutafuta wa kumraum kwa matatizo tuliyoyasababisha wenyewe kuna sehem tunakarithi Leo ndo nimegundua
sent from makinikia
Kwenda zako huko, unahangaikia Tumbo lako, hamna watoto wa shule hapa.Ufanano upo sana , kama siyo sasa unakuja
TumfanyejeHuyu mtoto Mtundu Antiokia Jisu ni mhaini. Tena ni gaidi kabisa anyongwe tu.
Weka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua we hukwenda shule, ndo maana hata kagazeti uyasoma upside downKwenda zako huko, unahangaikia Tumbo lako, hamna watoto wa shule hapa.