Habari zenu pitia hapa uone kuwa usaliti si mzuri
Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.
MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini isarael mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alinyongwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki isarael kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo Mr T.A.L anastahili adhabu gani?
Samuel