nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,653
Wakunyongwa ni yule nyampara mwenye kichwa kilichogawanyika kama kiazi Cha Tabora!Huyu mtoto Mtundu Antiokia Jisu ni mhaini. Tena ni gaidi kabisa anyongwe tu.
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Wakunyongwa ni yule nyampara mwenye kichwa kilichogawanyika kama kiazi Cha Tabora!Huyu mtoto Mtundu Antiokia Jisu ni mhaini. Tena ni gaidi kabisa anyongwe tu.
Nimekutaja wapi? Ujue katika watu ambao ninawaheshimu misimamo yao ni wewe ,japo tuna maoni tofauti, hadi mi follower wako,Wapi kuna jazba!? Weka ushahidi wa mimi kumlamba miguu fisadi badala ya kutaka kujibaraguza.
Ha ha wauaji kwa visingizio vya kunyamazisha watu wamepigwa made hadi Koufax akin a chachesko marcos waliuliwa mwambie huyo muuaji wenu hata pona ukiwemo weweWeka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeLaana ya uwaji bashite bwana umekuja kujitangazia jinsi
munavyooua mumesahau wauaji nao wana uliwa kwa aibu kwa kunyongwa kuburuzwa mitaani kama mbwa kutumbukizwa kwenye mashimo wengine walitiwa majiti kwenye njia ya choo wewe nawanaokutuma mtafanyiwa hivyo
Fisadi Magufuli mbona munamwabudu kaitia hasara nchi Leo na akina Doto james wanachezea fedha ya ummaNimekutaja wapi? Ujue katika watu ambao ninawaheshimu misimamo yao ni wewe ,japo tuna maoni tofauti, hadi mi follower wako,
Nimeuliza swali zwazwa ni Nani Kati ya anaye sema Leo huyu fisadi Na kesho anamnadi? Au nawe ulimnadi?
Unashindwa kuangalia hata habari yaan kupinga ni kila kitu, aisee upande wenu mna matatizoHabari yote pamoja na majina ya uliowataja ni uongo mtupu.Kadanganye wenzio wenye level ya kiprimary kid Kama wewe
Hapo DSM ulipo panajulikana tumia Busara kucomentFisadi Magufuli mbona munamwabudu kaitia hasara nchi Leo na akina Doto james wanachezea fedha ya umma
Unajua unachosema?Wakunyongwa ni yule nyampara mwenye kichwa kilichogawanyika kama kiazi Cha Tabora!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
hili genge la wahuni ni hatari kwa maendeleo ya taifa ndo maana korea hawana mzaha na watu wa aina hiiMimi ningepata URAIS hata kwa wiki moja tu, kazi ya kwanza kabisa ingekuwa ni kuwashikisha adabu watu wa namna hii. Ningewashikisha adabu kwa kiwango cha KIMATAIFA ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Hatuwezi kuwa na majitu yasiyo na UZALENDO kwa kiasi hiki.
Huwezi kuwa unapigana vita ili kuikomboa nchi halafu linatokea GENGE la wahuni wachache wanaowasaidia maadui ili kuiteketeza nchi.
Katika hotuba za mwl. Nyerere aliwahi kusema hivi, katika mapambano kama haya, huwa MAJIZI yanaibuka humo humo na WATETEZI wa MAJIZI wanaibuka humo humo.
Kwa hiyo mimi nisingewaua lakini cha moto wangekipata kwa maslahi ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid defence. Hatuwezi kufanya ujinga unaotugharim kisha badae tukaanza kutafuta cheap scapegoats.Nadhani Tanzania.italazimika kufuata mfumo huu ikitokea wakagundua wasaliti,
Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.
MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini Israel mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alifungwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki israel kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo akitokea mtanzania msaliti anastahili adhabu gani?
Kati ya hizi?
*kunyongwa
* kufungua
*kupotezwa kimya kimya
Pitia wachumi duniani wamsemaje
If your on the side of foreign investors who are looting our country your either a traitor or a fool. | Taxpayers Against Poverty
Samuel
Lakin wanyongweIvi aka katabia ka watanzania kutafuta wa kumraum kwa matatizo tuliyoyasababisha wenyewe kuna sehem tunakarithi Leo ndo nimegundua
sent from makinikia
Kwahiyo we mjinga ujinga ukosolewa kwa ujinga?Stupid defence. Hatuwezi kufanya ujinga kisha unaotugharim kisha tukaanza kutafuta cheap scapegoats.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa...Wakunyongwa ni yule nyampara mwenye kichwa kilichogawanyika kama kiazi Cha Tabora!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Kwani mpaka anyongwe? Kwanza mnamtaja NaniVijana wapo hawana kazi, watapewa kazi ya kufanya.
North Korea ndo hatariKuna mifano mingine north Korea mkuu na Rwanda. Maana akiri zenu zinafikiria uharibifu na kutesa wengine. Pathetic
Huyu wa wapi anatoa povuuuuBora kama unajifahamu na pumba zako humu kila kukicha kutaka kutetea uozo na mediocre performance.
Mtundu Antiokia KisuKwani mpaka anyongwe? Kwanza mnamtaja Nani
Hapo juu katajwa mtu kwani, au mi ndo sijauelewa Uzi? Naurudia tenaHakika samweli toka jana unaandika nyuzi za kutishia uhai wa TL ikitokea jambololote limempata utakuwa wakwanza kuwajibika ne naapa nitakusaka hadi kwenye korido za. Magogoni endelea blaza mipango yenu itawaghalimu
Sent using Jamii Forums mobile app