Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Weka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
nlishaambiwa niichukie siasa,siasa sio rafiki kabisa,mwanasiasa anaweza kufanya chochote kulinda maslahi yake akiwaacha nyie mkiumizana na kuchukiana.

Mambo Mengine yaache kama yalivyo huna haki ya kuhukumu as longer na wewe unaishi ndani ya sayari hii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Tanzania.italazimika kufuata mfumo huu ikitokea wakagundua wasaliti,

Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.
MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini Israel mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alifungwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki israel kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo akitokea mtanzania msaliti anastahili adhabu gani?
Kati ya hizi?
*kunyongwa
* kufungua
*kupotezwa kimya kimya

Samuel
Hakika samweli toka jana unaandika nyuzi za kutishia uhai wa TL ikitokea jambololote limempata utakuwa wakwanza kuwajibika ne naapa nitakusaka hadi kwenye korido za. Magogoni endelea blaza mipango yenu itawaghalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndivyo alivyo kutaka kufananisha vitu ambavyo havifanani. Kuliingiza Taifa kwenye mkenge afanye uchwara kisha afanye siri ili Watanzania tusijue uovu wake na wanapotokea wazalendo kumuanika hadharani basi hawa ndiyo wa kushtakiwa si yule mhusika dikteta uchwara!

Samweli mathayo , ulichokiandika wala hakina ufanano wowote na hali halisi inayotokea Tanzania
 
Nadhani Tanzania.italazimika kufuata mfumo huu ikitokea wakagundua wasaliti,

Iran imethibitisha kwamba imemuuwa mwanasayansi wa nyuklia, ambaye alituhumiwa kwamba aliipa nyaraka za siri kwa siri Marekani habari muhimu kuhusu mpango wa kinyuklia wa Iran.
Shahram Amiri alitoweka mwaka wa 2009 alipokwenda kuhiji katika mji mtukufu wa Mecca .
Alipojitokeza mwaka uliofuatia alikuwa nchini Marekani , akisema kuwa alitekwa nyara na CIA.
Kupitia kwa mitandao ya kijamii alidai kuwa alikuwa ametekwa na kuwa aalikuwa akijificha kutoka kwa majasusi wa Marekani.
Lakini alidai kwamba aliweza kutoroka, na alikaribishwa kama shujaa aliporudi Iran
Lakini baadaye, Bwana Amiri alifikishwa mahakamani.
Marekani imesema bwana Amiri alikwenda Marekani mwenyewe, na kwamba aliwapatia habari muhimu.
Habari za kuuawa kwake ziliibuka jumamosi mamake mzazi aliposema kuwa alipokea mwili wake uliokuwa na alama za kunyongwa shingoni,
Msemaji wa mahakama aliwaambia waandishi wa habari kuwa ''Shahram Amiri alikuwa amewapa maadui wa Iran habari nyeti kuhusiana na mpango wake wa kinyuklia.''
Gholamhossein Mohseni Ejei alinukuliwa akisema.
Awali Amiri alipokewa kwa shangwe na taadhima aliporejea nyumbani.
Iran imekuwa ikitafuta maarifa ya kuunda silaha za kinyuklia japo imekuwa ikipinga kufanya hivyo na badala yake ikisema kuwa inatafuta nguvu mbadala za umeme.
ata hivyo majuzi ilikubaliana na mataifa yenye nguvu zaidi duniani kusitisha mpango
huo wa kisiri na badala yake ipokee msaada kutoka kwa mataifa hayo yenye nguvu za kinyuklia.

MBALI NA HUYO WENGINE NA MAKOSA YAO
1. Shakil Afrid 2012 alishirikiana Na shirika la uwekezaji kutoka USA,(NHOG) kuipatia habari za kuchochea kuishtaki PAKISTAN, alipogundulika alinyongwa,
2. Hussein Haqqani
Aliwapatia nyaraka muhimu wawekezaji wa uingereza juu ya mpango wa Umeme Uliokuwa ukizalishwa Na kampuni ya uingereza, baada ya Pakistan kivunja mkataba , bwana Hussein Alikuwa upande wa wawekezaji ,alihukumiwa kunyongwa hadi kufa,
3. Patrick Stanley Vaughan Heenan ,
Alishirikiana Na kampuni ya NPP ya urusi mashariki kuifikisha mahakama ya kimataifa ,kuhusu uzuiwaji wa Mali zilizozalishwa kupelekwa kutokana Na kutotimiza masharti kwa urusi, alihukumiwa kifungu cha miaka 28, mwaka 1973
4. Hamiora Pere wa new Zealand alihukumiwa miaka 30 jera kwa kushirikiana Na Alstom ya France kuifikisha mahakamani serikali yake,
Mara nyine alijitetea kama katumia utaalamu wake wa Sheria kujipatia kipato japo alifanya kwa siri mwaka 1967,
5. Nchini Israel mwaka 2008 bwana Mardechai Vanunu alifungwa kwa kutoa siri zilizowezesha kampuni ya ya England mwaka 1986 inayohusu mazingira kuishtaki israel kwa mpango wa nyukilia,
Je kwa precedent hizo akitokea mtanzania msaliti anastahili adhabu gani?
Kati ya hizi?
*kunyongwa
* kufungua
*kupotezwa kimya kimya

Samuel
Nini? maana ya msaliti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamepiga ufisadi eti ndio mashujaa.. Unataka ufisadi usifiwe
 
Kuna mifano mingine north Korea mkuu na Rwanda. Maana akiri zenu zinafikiria uharibifu na kutesa wengine. Pathetic
 
Kama ndio usalama uliosomea ni upunguani.

Kazana utapewa Ubalozi kama Zoka wa Canada.

JPM KAMATA WEZI
 
Najua we hukwenda shule, ndo maana hata kagazeti uyasoma upside down
Wewe ungekwenda shule ungekuja kuandika Ujinga hapa?

Unafungua Thread kila dakika, ...
Unazani sisi hatujui kipi ni kipi mpaka uje kutulazimisha kwa thread zako ambazo ni nonsense!

Peleka Lumumba tupu yako ya nyuma huko....
 
Nimekulazimisha nini hehehe
 
Back
Top Bottom