Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kwa movement kama hizi za wapinzani itachukua muda sana kutawala nchi.

Maana wanakuwa na siasa za wanaharakati zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
zinawakera sana.achaneni nazo

ng'ombe wa nyuma huchapwa kwa sababu tu yupo karibu na mchungaji lakini anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele
 
Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.

Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa kwamba hizo billioni 80 unalipa wewe? pamoja na kulipa boda boda 30,000, pia unalipa na hizo billion 80 ambazo zimetokana na wao

Ahsante raisi wangu kwa kuliona hili
 
Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.

Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji144] [emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usimchambe.hiyo ndege ni yenu nyie ccm lubuva na magufuli.lini mlalahoi kama sisi tutatumia hela zitokanazo na ndege,hazitusaidii.tiba hakuna,elimu kwa watoto wa maskini mikopo imefutwa,iliyopo ni ya watoto wa makada wenu.unajitoa ufahamu kwakua Canadians wamewashusha ngiri ? Huchambi mtu hapa !mijiofisi yenu na mijengo ya kijani hamlipii kodi,hela ya kumfikia maskini itatoka wapi ? Majitaka tu hatupati nini maji safi na wakati nchi ina kila utajiri.mlichokalia nikujineemesha nyie tu alafu unatuimbia wimbi wako uliopooza eti elimu ya uraia.uraia upi na mnaowatosa ruvu mnawaita wahamiaji haramu?mngewathami kama raia mngewatos majini mnaujua uraia na elimu yake nyie ?mtu akimueleza raisi ana njaa anamkebehi nikakupikie,kwani kaomba apikiwe tena na raisisi,kwani yeye hajui jikoni,tena apikiwe na raisi hajiheshimu kujua huyo ni raisi ? Sasa maneno yake ya uropokaji yamemvua heshima anayoilazimisha.hapewi na hataipata.ataishia mibavu yake hiyo na udikiteta tu.ccm mnaujua uraia mngechinja watu kama mbuzi!mnge vamia Zanzibar nakutawala kama makaburu ! Siku zenu zipo kwenye ncha ama ivunjike au iwachome.wanga wa dunia nyie mnazulumu hadi Canada ! Kwenda zenu na uraia wa kijinga huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ndege ya akina nani?
Haha Somo la uraia bado lipo kweli?
Ama kweli elimu ya bure haina thamani.
Du nimeshangaa mtu anashangilia serikali kulipishwa Hiyo pesa anasahau hilo si deni la serikali ni la kila mtanzania !tulipaswa tusikitike badala ya kushangilia maana impact yake itatugusa indirectly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom