Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Hizi Ndiyo arguments. Safi sana Gamba la Snake. Sasa hapo ili kukamilisha hoja vizuri weka Tarehe, Mkataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo uliingiwa lini Waziri akiwa Nani na ulivunjwa lini kipindi cha Waziri nani na hukumu ilitolewa lini kipindi cha Waziri nani ili ulinganisho wa matukio wauelewa vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyunjwa 2009 Rais Magufuli akiwa Waziri wa Mifugo
 
Msichanganye tarehe ya hukumu na tatrehe ya kunyang'anya mtu kandarasi.

Ni wazi alinyang'anya hiyo kandarasi akiwa waziri enzi za Mkapa.
Enzi za Mkapa mwaka gani?mnajaribu kuwahadaa watu kwa kumfitinisha na Rais wao hamtafika mbali
 
Acha kupotosha maandiko. Huyo mwanamke aliyekuwa akipiga makelele aponyeshewe na Yesu kuhusu binti yake alikuwa MKANANAYO. Na wakananayo si miongoni mwa makabila 12 aliyotumwa nayo Yesu kuja kuyaokoa. Kumbuka aliposema NA KATIKA MIJI YA MATAIFA MSIENDE.....WALA MIJI YA WATAKATIFU BALI IFUATENI NJIA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL. Kwa nini alisema hivyo kwa sababu anasema SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL.
Usipotoshe masndiko kwa kudhani kuwa Yesu hakuvutiwa na makelele ya mwanamke Mkananayo bali hakupaswa kumponya maana si miongoni mwa makabila 12 ya Israel.
Wasomi wa biblia tupo...

Sent using Jamii Forums mobile app


Hakuna kilichopungua katika tafakari yangu.Uko mule mule.Nimeeleza kuwa Yesu hakutaka kuacha lengo kuu la kuhangaika na kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel.Na hayo ndio yalikuwa maudhui ya Injili.Wewe ulitaka nieleze "Mkananayo" ni mtu Wa Kabila gani ndo uelewe tafakari yangu?

Basis,nakuongezea na hili: mkananayo ametumiwa na mwinjili Matayo kufikisha ujumbe kuwa mkananayo sawa ni jambo lisilokuwa na umuhimu kwa muda na wakati fulani katika mstari Wa mambo muhimu.
 
Asante sana Tundu Lissu..
Bila wewe hii habari muhimu ya kodi za watanzania isingetolewa..
Mungu Akulinde Mh Lissu.
Hapa wasemaji wa serikali wameamua kujibu ili kututoa kwenye mstari wa kuulizia habari za kikao chao na barrick. Zamaradi tuambie na utupe mrejesho wa kikao kile na maamuzi yake pia. Au nacho kimehujumiwa na Lissu?
 
What matters is the burden and not the breach or whatsoever the accusations. You know very well that it is the money from our tax that is going to pay that debt. The government that you are defending must come forward with explanation on how this happened and forth apologise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
.
Mleta hasara ni ccm, anaetaka kutuaminisha hasara zote hazikutokana nae ni ccm. Anaewakingia kifua na kuwakumbatia waliosababisha hasara ni ccm. Kila uovu ni yeye maana toka uhuru ndio wao wameshika dola. Kibaya na kinachomfanya ccm awe mbwa haswa asie na imani hata imponye ni kule kutokuomba radhi kwa maovu aliyosababishia taifa.
Msamaha kwa Mungu upo halikadhalika kwa watu wake ila hamhusu asiye uhitaji. Shetani hata siku moja hawezi kuwa malaika automatically bila toba na kusihi rehema kwa alio wakosea.
Hapo ndipo mbwa ccm atabaki kuwa mbwa haswa maana hata imani ya falsafa ya uponyaji(kupona) hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dola milion 12.5 wamezolipa mpaka sasa ili angalau Bombardier iachiwe zipo kwenye bajeti ipi na Bunge liliziidhinisha lini? Kwa nini Magufuli na wapumbafu wake walitaka haya mambo yafanyikie gizani? Tusihamishe mada. WaTZ tuombwe radhi kwanza.
 
..In my opinion the information you need should come from GOVT SPOKESPERSON, not Tundu Lissu.

..It is OUR GOVERNMENT that needs to come clean with regards to the allegation made by Hon.Tundu Lissu and not otherwise.
 
Bongo Celebrity

Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:


2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.

2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).

2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
http://www.bongocelebrity.com/2015/...is-cv-and-anecdotes-from-those-who-knows-him/
 
Bongo Celebrity

Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:


2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.

2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).

2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
http://www.bongocelebrity.com/2015/...is-cv-and-anecdotes-from-those-who-knows-him/
 
If I am Lissu I can surely come clean on this. Hivi kweli ni mtu "as an individual" aliingia mkataba na kuuvunha unlawfully au ni serikali "as an office/ministry"..... Kama ni Magu as a president anayebeba dhaman ya ofisi zote zilizo chini yake, be it now or zamani, na hali akijua kuna makosa na hatua stahiki hazijachukuliwa kwa MAJIPU hayo, basi he is directly blameable..Kazi anayofanya TL ni advantage kwa sisi kama taifa kwa ujumla, kwani ni watanzania wangapi wanafahamu kuhusu haya..Tatizo tuna viongozi ambao washaaminisha watu wengi juwa they are GODS, ANGELS,.... nni vyema tu serikali ikubaliane na hali na ijifunze kutokana na makosa. Lissu asingeibua hili tungeendelea kuisubiri ndege mpaka forever...
 
Unafikiri wote tulipata upendeleo wa kusomeshwa kwenye elite schools kama wewe?!
Kama huelewi vizuri kuandika Kingereza andika kwa lugha yako ya Taifa usilazimishe.

Unaweza kuwa na ujumbe mzuri lakini kwa kuwa huelewi vizuri lugha uliyoitumia unaweza usiufikishe vyema.
 
Back
Top Bottom