Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

kisiri=kithiri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
PDF can not display, kamsikilize Tundu lisu youtube, kaelezea mwaka na mvunjaji wa mkataba akicompare na anavyovunja sasa hivi, kumbe kakosea. Alafu ukajipange upya
 
kweli chadema inaelekea kufa yaani sasa wamekosa kick mpaka wanaenda kutafuta kwa tochi nje ya nchi.
 
Ingekuwa ni kipindi kile cha Kikwete ungekuwa unasikia matamko tu kutoka kwa hao wahubiri wakiikosoa serikali na kuilaani serikali vikali.

Wagalatia kwa ubaguzi wako vizuri sana.
 
Na vita inakuwa ngumu zaidi pale unapokuta wapo watendaji na wananchi wengine ambao wanashiriki kuihujumu nchi kwa maslahi ya matumbo yao.
Kumbuka mfumo huu uliasisiwa na kulelewa na ccm kwa kipindi chote cha utawala wake, hasa pale kilipoanzisha sera mbovu ya chama kushika "utamu" UNATEGEMEA NINI?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa makosa wanayofanya wangepata mimba ni waheshimiwa wangapi wangekuwa na vibendi [emoji23] (Askofu Bagonza)
 
Hii kauli inanikumbusha kauli ya boss mmoja kwenye mkutano wa team, alisema:

'I dont care who speaks English with or without an accent; I dont care if you have grammatical errors: what I care is what you deliver to the team'. Mwisho wa kunukuu.
Nakuhakikishia, ukisogea huko mbele hasa kwa wenzetu. Kuzungumza vizuri kuna maana kubwa sana.

Mosi inakusaidia ujumbe wako kumfikia audience vile umekusudia.

Unapobwabwaja hovyohovyo bila mpangilio wa lugha, unaonekana akili yako haina akili. Bila kujali unajiamini kiasi gani.

Na kama unatoa fundisho fulani, inakua sio rahisi ukaaminika kwasababu wanahisi una uwezo mdogo. Hata kuzungumza haujui. Utakua Tapeli unayejifunzia kwao.

Pia Kuna watu hukerwa na watu kwasababu tu wanazungumza vibaya. Na sio content.

Mimi ukiwa unachanganya R na L nakutoa akilini mapema sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasomea kwenye simu ngumu. Ila nilikuwa namwandikia PMkama ambaye najua ana uwezo wa kusoma PDF file.

Kilichoandikwa ni kwamba barabara ya Wazo Hill to Bagamoyo ya km 45 ilijengwa kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003. Ukweli ndio huo, kama unataka kubishana bishana. Angalia na hilo file hapo chini kama una uwezo wa kulifungua.

PDF can not display, kamsikilize Tundu lisu youtube, kaelezea mwaka na mvunjaji wa mkataba akicompare na anavyovunja sasa hivi, kumbe kakosea. Alafu ukajipange upya
 

Attachments

We si juha tu kama majuha wengine endelea kukimbiza kivuli chako
 
Hehehe R & L
 
mbona hamzungumzii kilichosababisha hao jamaa kukatishiwa mkataba! ?
hivi mnataka kutuaminisha kuwa huyo muhusika siku moja asubuhi alikunywa chai ya hamdarasi kisha akaienda kuvunja makubaliano kirahisi namna hiyo? acheni kupotosha!
Hiyo barabara ilikuwa inajengwa na hiyo kampuni kati ya mwaka 2000 na 2003. Mkataba ulivunjwa wakati wa Magufuli.

Case kuamuliwa ndio ilikuja kufanywa mwaka 2009. Hiyo case ilikuwa inanguruma miaka kadhaa.

Acheni kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…