Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Toka lini chadema kikawa chama chako chama chako ccm achana na chadema nenda kushauri chama chenu mumshauri mwenyekiti wenu mufuate utawala wa sheria ili tusilishababishie taifa hasara.
 
Wasomi wetu wanawaza uteuzi, mkulu kawavuruga na teuzi zake. Kwasasa kila msomi anawaza namna gani watapata teuzi, sasa pasipo kumshambulia TL wataonekanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
Hao ni wasomi wachumia tumbo, hv hata msukuma ni msomi? Nimemsikia akimponda lissu
hata wewe ni mchumia tumbo wa mtaa wa ufipa. Unashabikia usilolijua na madhara yake. Wenzako wamelipwa weweunasubiri kupewa karangaza dimond utoe mapovu hapa ya mdomoni kutetea ulijinga
 
Unataka makinikia yatoroshwe bandarini ?
Hehee! Kumbe na zamu ya kuyalinda.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kiongozi, ndio mana najaribu kusema chadema ijaribu kufanya hata tafiti kuangalia hali ya ushawishi wake kutoka kwa umma mana siioni chadema ikimea tena labda huenda wameamua liwalo na liwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: UCD

Wasomi hawa wanaopigia MAKOFI maovu ili washibishe matumbo yao??Au wasomi haw ani akina Mwakyembe badala ya kushauri serikali inaiingiza serikali kwenye matatizo zaidi?

Bora kutokuwa msomi basi
 

Ungemshauri kwanza Mwenyekiti wako wa Chama Cha Makinikia.Huku tuache tunajua Lissu anachofanya.
 
Wasomi wetu wanawaza uteuzi, mkulu kawavuruga na teuzi zake. Kwasasa kila msomi anawaza namna gani watapata teuzi, sasa pasipo kumshambulia TL wataonekanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na Tundu Lissu mnawaza pesa tu za hao mabepari mlizoahidiwa kupewa baada ya deal hiki kufanikiwa. Hamuwazi maslah I ya watz hata kidogo. Njaa za kitoto. Hamuwazi maskini wa bongo mnafikiria ma tumbo yenu machache. Rudini darasani kwani elimu mlopata haisaidii Nchi
 
Binti mwaga habari kamili inaonekana una mengi sana kuhusu hili. Kama hata serikali yenye dola imeshindwa kuleta ushahidi kuhusu TL kuhongwa, kuwasaidia wakamataji wewe uchwara utakuja na ushahidi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu unaweza ongea kila kitu. Yanayotokea ni kuonyesha kuwa chama hakina mwenyewe. Ifike mahali tutengeneza sura zuri ya kutaka kuiongoza hii nchi. Tutajiharibu sana kwa kukosa wasimamizi wa haya.

Kuna siku tutaona nini maana ya kuwa na idara imara isiyotegemea maono na matakwa ya mtu binafsi kuendesha chama kama hiki.
Kama vile unaomba poo
Tundu Lisu amewashika pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini chadema kikawa chama chako chama chako ccm achana na chadema nenda kushauri chama chenu mumshauri mwenyekiti wenu mufuate utawala wa sheria ili tusilishababishie taifa hasara.
Kama vile unaomba poo
Tundu Lisu amewashika pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kiongozi, ndio mana najaribu kusema chadema ijaribu kufanya hata tafiti kuangalia hali ya ushawishi wake kutoka kwa umma mana siioni chadema ikimea tena labda huenda wameamua liwalo na liwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu la hayo usemayo kamuulize Magu!!!Atakueleza hofu yake nini mpaka kuzuia upinzani usifanye siasa!
 
Kamshauri huyoooooooooooooooooooooo aache udikiteita
 
Um
Binti mwaga habari kamili inaonekana una mengi sana kuhusu hili. Kama hata serikali yenye dola imeshindwa kuleta ushahidi kuhusu TL kuhongwa, kuwasaidia wakamataji wewe uchwara utakuja na ushahidi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
umelishwa karangaza za Diamond wenzako wanasubiri dola deal ikiwa ikiwa. We endelea kushabikia usilolijua . Watakuongeza na juice ya sayona.
 
Katiba mpya na kamatakamata...Lissu songa mbele kila ijumaa tupa madongo mjengoni..wameanza kuufyata(Tanzania sio ya baba zao)
 
Wasomi wenyewe ni design ya wale wa TEC.....waliokwenda kwa Bashite kuomba poo. Stupittt kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…