Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia?
Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya nje wakati wajibu wake wa kwanza ni kwa raia wa Tanzania ambao mshahara wake unatoka kwenye kodi zao.
Watawala wa Africa hasa CCM ni vigumu sana kuelewa akili zao wanavyofikiria.