Epuka matapeli, viongozi wakuu wa nchi wapo juu ya sheria.Kama Mimi nikipost Kwa twita maarufu x halafu wakanishtaki Kwa ku bypass authorities za mawasiliano za mamlaka ya nchi kama hakuna aliye juu ya Sheria huyu akifunguliwa mashtaka ni sawa na Mimi?