Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".