Msemaji wa serikali mbona ameongea kwa paniki sana leo? Mambo si shwari huko serikali bila shaka

Msemaji wa serikali mbona ameongea kwa paniki sana leo? Mambo si shwari huko serikali bila shaka

Kumbe majini ya samia yanaogopa No reform No election
Siyo tu NORENOE pia yanaogopa maombi. Yaani utofautiane na mtu mmoja hafu ukimbilie kufunga kanisa nchi nzima!!! Shida ni majini yalishtukia yale maombi ya siku saba yaliyotangazwa, yalijua yatapata shida
 
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.

Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.

Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.

Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.

Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
FB_IMG_1749669116210.jpg
 
Ndio tabu ya mtu mweusi akishika hatamu...
 
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.

Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.

Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.

Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.

Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Msigwa atauwa wangapi? Nchi Nzima inasema No Reforms No Election
 
kuna mambo mengi mazuri yamefanyika serikalini lakini hakuna anaye yazungumzia, tumekalia kupigana vijembe na henche ambaye kashasema hapigi kura,

heche anaelezea mapungufu ya serikali na namna gani akiingia madarakani atayaondoa, ccm ilipaswa kuelezea mafanikio na namna gani imemkomboa mtanzania.

tunatumia muda mwingi kufafanua mapungufu ya chadema wakati wao hata hawayaongelei kwao ni vitu vidogo badala yake wanagonga misumali ya moto dhidi ya serikali.
Kufanya mazuri ni wajibu wa Serikali!
 
Back
Top Bottom