Niaibu kwa chama kinachosmea kina 13 Million registered member? Wako wapi kukitetea chama chao? Napata mashaka hiyo idadiMaelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Enzi za JPM, huyu jamaa alikuwa anajiona ni zaidi ya MAKAMU WA RAIS!Msemaji wa serikali ni nani?
Nashangaa ana uhakika gani kwamba ni vijana tu wanaoandika NRNE anasikitisha sanaMaelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Michongo yao serikalini imeingiliwa,Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Alikuwa anaongea mpk mishipa imetoka na mate kusambaa kwenye mic huku sura akiwa ameikunja.Nashangaa ana uhakika gani kwamba ni vijana tu wanaoandika NRNE anasikitisha sana
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
yani amepanic nyau huyo, na alivo na makandokando ye ajifanye nunda tumuaibishe, tena akae kwa kutulia, msemaji my foot!Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Atakuwa kavimbiwa 🐕Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Sasa hivi CCM ni kama wamechanganyikiwa. Wakiwaacha Chadema waendelee na Kampeni zao wanaona hatari kubwa mbele, wakiwafanyia figisu ndo kwanza wananchi wanazidi kuikubali, sasa wanashindwa wafanye nini. Wako hoi, soon wataanza kuparanganyika wenyewe kwa wenyewe. Leo tumeona mwenyekiti wa CCM wilaya huko Tarime akizomewa na wananchi kwenye mkutano.Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.
Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World.
Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni ya mnunuzi.
Mambo mazuri huwa hayaelezewi kwa jazba, huwa yanaonwa na kufurahiwa na kila mwenye macho angavu.
Ndiyo maana wahenga walisema "tele haichunguliwi".
Uchaguzi. Kila mtu homa. Raia homa, wakubwa homa.Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho.