Msemaji wa serikali mbona ameongea kwa paniki sana leo? Mambo si shwari huko serikali bila shaka

Tele inaonekana
 

Hana neno lolote kuhusu watekaji, wauwaji wala waf*raji.

Gwajima alikuwa na hoja za msingi kuliko huyu!
 
Ila baadhi ya wanyalu kwa kujipendekeza na kufanya mambo ya hila na fitina ni shida.Halafu huwa wanajisahau kama Chala....Kwa ujumla ushamba kwao hauondoki
 
Tukiongea ukweli Gerson Msigwa alistahili kuwa mbeba Matenga kwenye masoko ya ndizi. Hana elimu wala weredi wa kuwa msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu.
Kwa hiyo unamuonea wivu ?
 
Yupo wapi huyu.
Mbona haonekani Kwenye NORNOE.

Ingependeza sana mtu wa aina hiyo akawa mbele ya kampeni hii
 
Siwezi kusikikiza upumbavu bora niangalie porn
 
Yupo kwenye siku zake
 
Msigwa bwana sijui anafikiri kuna mtanzania anamuogopa au ndio anataka kujionyesha kwa samia...ana shida sana msigwa uchawa umemjaa
 
Hajaongea kwa vitisho, bali amefanya kama ninavyoamini Mimi, "an eye for an eye". Chadema hawatakiwi kuambiwa kwa kubembelezwa. Hiyo ni kama wanadekezwa kitu ambacho ni upuuzi. Jana, Erythrocyte alisema eti wanaopinga No Reform, No Election wapigwa Tabora. Mimi nikamjibu, acha WAPIGWE maana hata sisi Mawazo alituingilia Katoro na akapigwa hadi leo Chadema wanajua yuko wapi. Erythrocyte hajajibu hadi sasa.
 
Mbona huo wimbo unaimbwa na hata wasio na chama na ccm pia.
 
kuna mambo mengi mazuri yamefanyika serikalini lakini hakuna anaye yazungumzia, tumekalia kupigana vijembe na henche ambaye kashasema hapigi kura,

heche anaelezea mapungufu ya serikali na namna gani akiingia madarakani atayaondoa, ccm ilipaswa kuelezea mafanikio na namna gani imemkomboa mtanzania.

tunatumia muda mwingi kufafanua mapungufu ya chadema wakati wao hata hawayaongelei kwao ni vitu vidogo badala yake wanagonga misumali ya moto dhidi ya serikali.
 
Chadema wako kwenye straight truck hawababaishwi na miluzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…