Msemaji wa serikali mbona ameongea kwa paniki sana leo? Mambo si shwari huko serikali bila shaka

Kumbe majini ya samia yanaogopa No reform No election
Siyo tu NORENOE pia yanaogopa maombi. Yaani utofautiane na mtu mmoja hafu ukimbilie kufunga kanisa nchi nzima!!! Shida ni majini yalishtukia yale maombi ya siku saba yaliyotangazwa, yalijua yatapata shida
 
 
Ndio tabu ya mtu mweusi akishika hatamu...
 
Msigwa atauwa wangapi? Nchi Nzima inasema No Reforms No Election
 
Kufanya mazuri ni wajibu wa Serikali!
 
H
Tukiongea ukweli Gerson Msigwa alistahili kuwa mbeba Matenga kwenye masoko ya ndizi. Hana elimu wala weredi wa kuwa msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…