Msemaji wa Serikali: Serikali imeelekeza, imeonya na kusamehe vya kutosha. Sasa kuvichukulia hatua vyombo vya habari vinavyosambaza taarifa za uongo

pasko siku hizi kuna anachojua kuandika zaidi ya kuandika ‘naunga mkono hoja?’
Hakuna mtu anayejua kila kitu, hivyo ikitokea mada ambayo sina cha kuchangia, lakini naiunga mkono hoja, huchangia kwa kuunga mkono hoja.
P
 

Again bro, you are disappointing!! No the paskal i knew!!!
 
Ni habari ipi (zipi) ya uongo iliyosambazwa?
 
Paskali, hebu nikumbushe hatua alizochuliwa dhidi ya magazeti ya Musiba; Jamvi la Habari na Tanzanite.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…