Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

Wameanza kujistukia baada ya kuona WHO imeanza kutengeneza mipango ya kuwasusa....!!!

Mnaleta kiburi wakati hata kutengeneza mswaki.

Pumbavu
 
Unamaanisha unachosema? Unaweza kuyasema haya hadharani? Unaweza kuwaambia CCM kuhsu wale makada wa Cahdema waliojazana mahabusu hadi leo kwa kesi za kubumba? Unaweza kumkemea yule Mbunge wa CCM aliyetumia bunge tukutufu kuwa YUKO TAYARI KUTOA ROHO YA MTU ili kuulinda ubunge wake? Hapa ndio nitaamini siasa sio uadaui ila tusiseme wakati hatuyaishi yale tunayoyasema
Elie, sifanyi siasa kukuridhisha wewe, na wala sitafanya. Ukae ukijua Haki ni haki haipotei na itajitokeza tuu.

Nakushukuru na nakutakia kila lakheri
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili...
Huyu jamaa ni mpumbavu, unakabiliana vipi na ugonjwa ambao magufuli kila siku anasema haupo nchini ?
 
Unamaanisha unachosema? Unaweza kuyasema haya hadharani? Unaweza kuwaambia CCM kuhsu wale makada wa Cahdema waliojazana mahabusu hadi leo kwa kesi za kubumba? Unaweza kumkemea yule Mbunge wa CCM aliyetumia bunge tukutufu kuwa YUKO TAYARI KUTOA ROHO YA MTU ili kuulinda ubunge wake? Hapa ndio nitaamini siasa sio uadaui ila tusiseme wakati hatuyaishi yale tunayoyasema
Nimesahau kimoja. Jee kuandika na kushiriki mawazo yangu hapa jukwani SIO HADHARANI???
 
Amejibu kile mkuu wa nchi alichoagiza. Si kila dawa kutoka kwao ni dawa na inafaa. Wizara iliagizwa ifanya utafiti na kujiridhisha na chanjo hizo....
Sisi tupo salama, mhe magufuli amesisitiza mara elfu kuwa nchi haina corona.
 
Amejibu kile mkuu wa nchi alichoagiza. Si kila dawa kutoka kwao ni dawa na inafaa. Wizara iliagizwa ifanya utafiti na kujiridhisha na chanjo hizo...
Ile togwa aliyokunywa Kabudi kutoka Madagascar ilifanyiwa utafiti kwenye maabara ipi hapo Tanzania ?
 
Amejibu kile mkuu wa nchi alichoagiza. Si kila dawa kutoka kwao ni dawa na inafaa. Wizara iliagizwa ifanya utafiti na kujiridhisha na chanjo hizo.

Kama zingekuwa bora wao wasingekuwa wanaita vyombo vya habari na kuihadaa dunia kuwa wanachanjwa kumbe wanaigiza tu. Amka Afrika, tumia akili yako.

Nakubaliana na wewe kuwa Watanzania hatuko salama kwa COVID19. We have to fight strongly
Umeandika maelezo malefu Alaf pumba
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.

Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye ameshawahi kusema Tanzania ni Corona free, kwani Tanzania ni sehemu ya dunia na kila siku inapokea wasafiri!

Amesema nchi ilichokataa ni kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Chanzo: BBC

======

Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema Tanzania haijawahi kusema hilo akifafanua, Tanzania ni sehemu ya dunia na kuna raia wa kigeni wanaokuja Nchini na wapo Watanzania wanaoenda nje hivyo muingiliano upo

Katika mahojiano na BBC, ameeleza Serikali inachosema ni Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 kwa njia za kisayansi na za asili. Pia, Serikali ilikuwa makini tangu mapema

Aidha, amesema Tanzania haijadharau chanjo za Corona na kufafanua chanjo nyingi zipo katika majaribio, hivyo ni vema zikaendelea kufanyiwa majaribio ili usahihi wake wa kisayansi uweze kuthibitika

Amesema, "Dunia nzima kuna kelele, yapo maeneo hizo Chanjo zimeleta athari kubwa kwenye Afya ya binadamu. Sisi kama Nchi hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio"
ADVERTISEMENT



Coronavirus: John Magufuli declares Tanzania free of Covid-19​

Published8 June 2020
Share
Related Topics
John Magufuli
IMAGE COPYRIGHTAFP
image captionJohn Magufuli praised worshippers for not wearing masks and gloves
Tanzania's President John Magufuli has declared the country "coronavirus-free" thanks to prayers by citizens.
"The corona disease has been eliminated thanks to God," Mr Magufuli told worshippers in a church in the capital, Dodoma.
The World Health Organization (WHO) has expressed concern over the government's strategy on Covid-19.
The government has stopped publishing data on the number of coronavirus cases in the country.
On 29 April, the last day official data was released, there were 509 cases, with 21 deaths in Tanzania. However, Mr Magufuli said last week that only four patients were receiving treatment in the largest city, Dar es Salaam.
Last month, Tanzania's government dismissed a US embassy warning that hospitals in Dar es Salaam were "overwhelmed" and that the chances of contracting the virus was "extremely high".

Mr Magufuli has repeatedly said the health crisis has been exaggerated and urged people to attend services in churches and mosques, saying that prayers "can vanquish" the virus.

What did Magufuli say?​

"I want to thank Tanzanians of all faiths. We have been praying and fasting for God to save us from the pandemic that has afflicted our country and the world. But God has answered us.


"I believe, and I'm certain that many Tanzanians believe, that the corona disease has been eliminated by God," he told worshippers on Sunday in Dodoma.
His remarks were welcomed with applause and celebratory ululation.
Mr Magufuli also commended the priest and worshippers for not wearing gloves and masks to protect themselves from the virus.

What else has he said?​

He made similar comments last Friday during a teachers' conference, declaring "corona is finished".

"The health minister told me that we only have four patients in Dar es Salaam but this will not stop rumours to the contrary," he said.
"We need to be careful because some of these donations to fight coronavirus could be used to transmit the virus.
"I want to urge you Tanzanians not to accept donations of masks, instead tell the donors to go and use them with their wives and children," he added.

media captionCoronavirus: How Covid-19 is affecting remittances to Africa
The Tanzanian president is among several African leaders who have received orders for a herbal tonic touted by the president of Madagascar as a cure for Covid-19. It is unclear if it has been given to patients in Tanzania.
There is no scientific proof that the tonic works and the WHO has urged people not to use unproven medication.
Opposition politicians have criticised Mr Magufuli in the past for promoting policies that could harm the health of Tanzanians.

The head of Tanzania's medical association, Elisha Osati, backed the government in a recent BBC interview, saying that hospitals were operating as normal and that the majority of coronavirus inpatients were suffering from mild symptoms.
Mr Magufuli has accused the country's health officials of exaggerating the coronavirus crisis. He has also ridiculed the strict measures neighbouring countries have imposed to fight the pandemic.
Banner image reading 'more about coronavirus'

Banner

Related Topics​

More on this story​

Around the BBC​

Related Internet Links​

The BBC is not responsible for the content of external sites.
 

TAZAMA RAIS DR MAGUFULI ATANGAZA TANZANIA HAKUNA CORONA/ TANZANIA/MUNGU KWETU KIMBILIO​

 
Kupuuza kudharau au Kudhihaki ni pamoja kutowaelewa wananchi ukweli kwamba wanatakiw kuzingatia kanuni za afya juu ya kujikinga na kudhibiti hii pandemic. Mwendokasi, daladala etc zinajaza kama hali ipo kawaida.... taasisi za serikali hazitoi matamko juu ya uchukuaji tahadhari hasa kwenye maeneo yenye mikusanyiko.

1. Suala la social distance haliongelewi kama kwamba sio msingi wa kuepukana na maambukizi

2. Suala la kuvaa barakoa limekuwa halikubaliki miongoni mwa wanasiasa.
3. Kinachowafanya watoke huko ni vile jamii kuchukua hatua na kutupilia mbali siqsa mbovu zenye lengo la kuwahadaa wananchi juu ya suala la COVID.

Uzuri ni kwamba waathirika wakubwa ni wenye umri mkubwa na wenye magonjwa nyemelezi ambako viongozi walio wengi wa siasa wana fall upon.

Tuendelee kula mtori nyama ziko chini....
mkuu acha HOFU endelea kupiga kazi kifo kipo tu. as long as siku yako imefika
 
Ama sie watanzania wa kawaida tuna vicha, wazembe na tusioelewa chochote, au huyu msemaji wa serekali na Serekali ya chama changu wao ndio vichaa, wanafiki na wazembe.

Serekali isiwe na kigeugeu ikubali ilikosea. Mlitutangazia tena na Raisi mwenyewe kuwa baada ya swala za siku 3 , Corona iliondoka kwa mbio za Supersonic Tanzania. Watu walikuwa akivaa barakoa, mlikuwa mnawahujumu.

Ukweli ni kuwa Policy yetu ya Denial imewagharimu sana watanzania wengi, imeuwa watu wengi, na yote hayo ni lawama kwa Raisi wa nchi na Serekali yake. Ingekuwa nchi zingine serekali iliyofanya kosa kama hili, wangejiwajibisha, lakini sisi badala ya kujiwajibisha, mtaanza kututafuta tunaosema ukweli, ili mtuadhibu.

Ushauri wangu kwa serekali yangu na Raisi wangu, ni kweli Tumeuuwa Upinza wa vyama vingi, hauna nguvu tena, ila TUMEJENGA UPINZANI WA NDANI. Its impossible to gag all the people
mkuu acha HOFU endelea kupiga kazi kifo kipo tu as long as umeandikiwa
 
Amejibu kile mkuu wa nchi alichoagiza. Si kila dawa kutoka kwao ni dawa na inafaa. Wizara iliagizwa ifanya utafiti na kujiridhisha na chanjo hizo.

Kama zingekuwa bora wao wasingekuwa wanaita vyombo vya habari na kuihadaa dunia kuwa wanachanjwa kumbe wanaigiza tu. Amka Afrika, tumia akili yako.

Nakubaliana na wewe kuwa Watanzania hatuko salama kwa COVID19. We have to fight strongly
Tafiti hazifanyiki kama kukaa kijiwecha kahawa na kupiga porojo zipo gharama za kuingia na maandalizi ya kufanya ili hilo lifanyike katika njia salama na yenye tija,sii bado kuona umuhimu wa yote hayo,hivyo no bora kuwapa nafasi waliojipanga.
 
Amejibu kile mkuu wa nchi alichoagiza. Si kila dawa kutoka kwao ni dawa na inafaa. Wizara iliagizwa ifanya utafiti na kujiridhisha na chanjo hizo.

Kama zingekuwa bora wao wasingekuwa wanaita vyombo vya habari na kuihadaa dunia kuwa wanachanjwa kumbe wanaigiza tu. Amka Afrika, tumia akili yako.

Nakubaliana na wewe kuwa Watanzania hatuko salama kwa COVID19. We have to fight strongly
Great! Prepare to fight in your grave!
 
COVID 19 Hakuna Hapa Tanzania
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Hoyee 😂😁😀😅😄😃🤣😂😅😄
 
Msemaji wa Serikali huku, waziri wa afya kule, naibu waziri afya hukoo, Mganga Mkuu wa Serikali kulee. Yaani tafrani tupu
 
Back
Top Bottom