Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

Msemaji wa Serikali huku, waziri wa afya kule, naibu waziri afya hukoo, Mganga Mkuu wa Serikali kulee. Yaani tafrani tupu
Moral Rearmament walisema hivi enzi zao: You can't live crooked and think straight. And you can't think straight and live crooked. Tunaishi tuwazavyo na kuwaza tuishivyo!
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.

Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye ameshawahi kusema Tanzania ni Corona free, kwani Tanzania ni sehemu ya dunia na kila siku inapokea wasafiri!

Amesema nchi ilichokataa ni kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Chanzo: BBC

======

Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema Tanzania haijawahi kusema hilo akifafanua, Tanzania ni sehemu ya dunia na kuna raia wa kigeni wanaokuja Nchini na wapo Watanzania wanaoenda nje hivyo muingiliano upo

Katika mahojiano na BBC, ameeleza Serikali inachosema ni Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 kwa njia za kisayansi na za asili. Pia, Serikali ilikuwa makini tangu mapema

Aidha, amesema Tanzania haijadharau chanjo za Corona na kufafanua chanjo nyingi zipo katika majaribio, hivyo ni vema zikaendelea kufanyiwa majaribio ili usahihi wake wa kisayansi uweze kuthibitika

Amesema, "Dunia nzima kuna kelele, yapo maeneo hizo Chanjo zimeleta athari kubwa kwenye Afya ya binadamu. Sisi kama Nchi hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio"
Msemaji mwenyewe ameugua covid yaani kitawaka mwaka huu
 
Tafiti hazifanyiki kama kukaa kijiwecha kahawa na kupiga porojo zipo gharama za kuingia na maandalizi ya kufanya ili hilo lifanyike katika njia salama na yenye tija,sii bado kuona umuhimu wa yote hayo,hivyo no bora kuwapa nafasi waliojipanga.
Hata kama walichoandaa wao hawali, wanakuletea wewe ule, eti hiki ni salama. Una akili ya kufikiri japo kwanini wameandaa kwa ajili yangu wakati wao wananjaa zaidi yangu.
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
-----------------

Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye ameshawahi kusema Tanzania ni Corona free, kwani Tanzania ni sehemu ya dunia na kila siku inapokea wasafiri!

Amesema nchi ilichokataa ni kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya UKOVI 19

Chanzo: BBC

Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.

Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye ameshawahi kusema Tanzania ni Corona free, kwani Tanzania ni sehemu ya dunia na kila siku inapokea wasafiri!

Amesema nchi ilichokataa ni kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Chanzo: BBC

======

Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema Tanzania haijawahi kusema hilo akifafanua, Tanzania ni sehemu ya dunia na kuna raia wa kigeni wanaokuja Nchini na wapo Watanzania wanaoenda nje hivyo muingiliano upo

Katika mahojiano na BBC, ameeleza Serikali inachosema ni Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 kwa njia za kisayansi na za asili. Pia, Serikali ilikuwa makini tangu mapema

Aidha, amesema Tanzania haijadharau chanjo za Corona na kufafanua chanjo nyingi zipo katika majaribio, hivyo ni vema zikaendelea kufanyiwa majaribio ili usahihi wake wa kisayansi uweze kuthibitika

Amesema, "Dunia nzima kuna kelele, yapo maeneo hizo Chanjo zimeleta athari kubwa kwenye Afya ya binadamu. Sisi kama Nchi hatuwezi kuwa sehemu ya majaribi

Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.

Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye ameshawahi kusema Tanzania ni Corona free, kwani Tanzania ni sehemu ya dunia na kila siku inapokea wasafiri!

Amesema nchi ilichokataa ni kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Chanzo: BBC

======

Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema Tanzania haijawahi kusema hilo akifafanua, Tanzania ni sehemu ya dunia na kuna raia wa kigeni wanaokuja Nchini na wapo Watanzania wanaoenda nje hivyo muingiliano upo

Katika mahojiano na BBC, ameeleza Serikali inachosema ni Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 kwa njia za kisayansi na za asili. Pia, Serikali ilikuwa makini tangu mapema

Aidha, amesema Tanzania haijadharau chanjo za Corona na kufafanua chanjo nyingi zipo katika majaribio, hivyo ni vema zikaendelea kufanyiwa majaribio ili usahihi wake wa kisayansi uweze kuthibitika

Amesema, "Dunia nzima kuna kelele, yapo maeneo hizo Chanjo zimeleta athari kubwa kwenye Afya ya binadamu. Sisi kama Nchi hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio"
Sawa,sasa tuambie serikali ya tanzania iliwahi kusema nini kuhusu corona?
 
Hili jamaa zuzu, he is shameless and certainly empty headed. His boss was shouting now and then that tz is free of covid 19. Huyu zuzu hakusikia?
 
Washaanza kujing'ata ng'ata.

Wote hawajiamini juu ya kauli zao.

Kama hamjawahi kusema kwamba tanzania hakuna corona.
Sasa kwanini hamtoi taarifa kuhusu corona?

Waafrika akili zao zinasikitisha.
 
Back
Top Bottom