Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

Naunga mkono hoja, toka lini Tanzania ikawa na uraia pacha? huyu aliondoka nchini wakati hata Tanzania haijazaliwa na hakuna hata ambaye amewahi kumsikia akijinasibu kuwa yeye ni Mtanzania, kuna tofauti kati ya kuwa na asili ya kuzaliwa na kuwa raia wa nchi, kama ni hivyo basi itoshe tu kusema waarabu,wahindi, ambao wamehamia Tanzania lakini wana asili ya India na uarabuni ni raia wa India na nchi za Uarabuni
 
Na aliondoka Visiwani Zanzibar hata Lanka ya Muungano, Means Tanzania haikuwepo

Ma CCM yanapenda sifa za Kijinga sana
Haijui hata Tanzania ni nchi gani yeye anajua tu Zanzibar imepakana na Tanganyika upande wa magharibi.
 
Babu yake FATUMA KARUME A.K.A SHANGAZI alifanya jamaa akimbie ardhi yake.
 
Ni tuzo ya kipumbavu kuliko zote, yaan wazungu sznakupa tuzo kwa kuitukanisha africa. Nimesikia wanaichambua tv moja maarufu niliyojifunza nimeidharau sana hii tuzo. Ndo tuzo inayotufanya africa kuwa wajinga maskini na wapumbavu tusiokuwa na msimamo
 
Mimi nachoshangaa kuna vyombo vya habari vya kimataifa vinasema huyu n mtanzania tena muafrika hii imekaaje jamani.
 
Mbona BBC pia wanasema ni Mtanzania, au mimi ndo sielewi.
Kwa hiyo Tanzania tuna uraia pacha? Kumbuka alikimbia Zanzibar akiwa kijana mdogo miaka ya sitini mwanzoni na kuingia Uingereza kama mkimbizi na sasa ni raia wa huko.
 
Sidhani kama aliwahi kubadili uraia huyu, hadi kuna mwaka aliwahi kuwa jaji wa shindano la mabati cornell info zake zote zilionyesha ni mtanzania kwenye tovuti yao. Huko Uingereza alienda kama mkimbizi tu
 
Kuna watu humu wanamjua huyu Mzee kuliko yey mwenyewe anavyojijua,mwenyewe anajitambulisha km Mtanzania lkn humu jamvin wameamua kumpa uingereza mpaka waingereza wenyew wanashangaa
 
Elimu Zanzibar kabla na baada mapinduzi mbingu na ardhi. Elimu ya mkoloni ilizalisha wasomi wengi wanzanzibari wanaotambulika /walitambulika duniani, Huku pia mfujaji chama kikongwe alikuvuruga big time,
 
Hata Wakenya Barack Obama alipokuwa Rais wa Marekani walisema Mkenya kawa Rais Marekani. Watani zangu Wajaluo ndio basi. Eti Jaluo amekuwa LAIS YA MALEKANI!
 

nondo za ukweli, agiza kinywaji popote ulipo nakuja kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…