Msemaji wa serikali ya Benin: Tumedhibiti mapinduzi kila kitu kipo sawa. Jeshi la kawaida linarudisha udhibiti

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kila kitu kiko sawa’: Msemaji wa Serikali

Bado hakuna habari rasmi kuhusu mahali alipo Rais wa Benin Talon, lakini Wilfried Houngbedji, msemaji wa serikali ya Benin, ameiambia AP kwamba “kila kitu kiko sawa.”

Houngbedji hakutoa maelezo zaidi, kulingana na shirika la habari la AFP.

1765105262681.png

============​
The Benin presidency has reacted to the announcement of military control in the country, saying President Patrice Talon is safe and the army is regaining control,

The presidency, while speaking to AFP on Sunday, shortly after a group of soldiers declared during a broadcast on Benin’s state TV that they had taken over the government, said, “This is a small group of people who only control the television,” his office said. “The regular army is regaining control. The city and the country are completely secure.”

The Informant247 reports that a group, labelling itself the Military Committee for Refoundation, announced that the president Patrice Talon and all political officeholders have been effectively removed.

They also announced that all state institutions were also dissolved.

Talon, the democratic president of Benin Republic, has been on the saddle since 2016 and had promised to leave office in 2026 after the presidential poll.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Waliwatuma mkachome Mali za watu na za uma?
 
Ujue nchi Itachomeka hiyo
Naona kama Benini Hali ya Usalama itavurugika kwa mwenendo huo
 
Waziri wa mambo ya ndani wa Benin amesema kwamba jaribio la mapinduzi lililotangazwa mapema Jumapili limezuiwa.

Katika video iliyowekwa Facebook, Alassane Seidou alisema:

“Asubuhi ya Jumapili, Desemba 7, 2025, kundi dogo la wanajeshi lilianzisha uasi kwa lengo la kuidestabilisha nchi na taasisi zake. Jeshi la Benin na uongozi wake wamesimama imara kulinda taifa kulingana na kiapo chao.”

Hapo awali, kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa wakitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kilichoonekana kama mapinduzi, sawa na yaliyotokea mara nyingi Afrika Magharibi.

Kikundi hicho kilichojiita Kamati ya Kijeshi ya Marekebisho, kilisema kimeondoa madarakani rais na taasisi zote za serikali. Luteni Kanali Pascal Tigri alitangazwa kuwa mkuu wa kamati hiyo ya kijeshi.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
Hee ila mambo mengine bwana. Asee
 
Nahisi hata siku hapa kwetu jeshi likijitahid likafanya hivyo mambo yatakua hiv hivi 🤣🤣🤣
 
Kwanini mlipola uchaguzi, na kujisimika madarakani kwa bunduki??
Chadema mlisusa wenyewe ...kwani tuliwakataza msiende kusain! Halafu mlivyo mapimbi mnaenda kuleta vurugu siku ya uchaguzi. Mmekutana na wenye akili zaidi yenu. Na mkitoka Tu .wale jamaa walivaa cape nyeusi hawajatosheka.
 
Waziri wa mambo ya ndani wa Benin amesema kwamba jaribio la mapinduzi lililotangazwa mapema Jumapili limezuiwa.

Katika video iliyowekwa Facebook, Alassane Seidou alisema:

Hapo awali, kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa wakitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kilichoonekana kama mapinduzi, sawa na yaliyotokea mara nyingi Afrika Magharibi.

Kikundi hicho kilichojiita Kamati ya Kijeshi ya Marekebisho, kilisema kimeondoa madarakani rais na taasisi zote za serikali. Luteni Kanali Pascal Tigri alitangazwa kuwa mkuu wa kamati hiyo ya kijeshi.
Nawahurumia kwa mpango wao kufeli
 
Kila kitu kiko sawa’: Msemaji wa Serikali

Bado hakuna habari rasmi kuhusu mahali alipo Rais wa Benin Talon, lakini Wilfried Houngbedji, msemaji wa serikali ya Benin, ameiambia AP kwamba “kila kitu kiko sawa.”

Houngbedji hakutoa maelezo zaidi, kulingana na shirika la habari la Afp.
View attachment 3512618

============​
The Benin presidency has reacted to the announcement of military control in the country, saying President Patrice Talon is safe and the army is regaining control,

The presidency, while speaking to AFP on Sunday, shortly after a group of soldiers declared during a broadcast on Benin’s state TV that they had taken over the government, said, “This is a small group of people who only control the television,” his office said. “The regular army is regaining control. The city and the country are completely secure.”

The Informant247 reports that a group, labelling itself the Military Committee for Refoundation, announced that the president Patrice Talon and all political officeholders have been effectively removed.

They also announced that all state institutions were also dissolved.

Talon, the democratic president of Benin Republic, has been on the saddle since 2016 and had promised to leave office in 2026 after the presidential poll.
Wanasemaga hivyo hivyo
 
Naamini huyu msigwa wa Benin anatuliza tu taharuki iliyotanda hapo nchini Benin... ila ukweli anaujua kuwa Ikulu sio yao tena, majeshi ya west africa huya hayafanyi kwa kubahatisha hizi mambo
 
Waziri wa mambo ya ndani wa Benin amesema kwamba jaribio la mapinduzi lililotangazwa mapema Jumapili limezuiwa.

Katika video iliyowekwa Facebook, Alassane Seidou alisema:

Hapo awali, kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa wakitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kilichoonekana kama mapinduzi, sawa na yaliyotokea mara nyingi Afrika Magharibi.

Kikundi hicho kilichojiita Kamati ya Kijeshi ya Marekebisho, kilisema kimeondoa madarakani rais na taasisi zote za serikali. Luteni Kanali Pascal Tigri alitangazwa kuwa mkuu wa kamati hiyo ya kijeshi.
Luteni Kanali si afisa mdogo kabisa huyo jeshini? Sasa wa kwetu hapa wanashindwa nini? Huyo msemaji wa serikali atakuwa anajibaraguza tu!
 
Chadema mlisusa wenyewe ...kwani tuliwakataza msiende kusain! Halafu mlivyo mapimbi mnaenda kuleta vurugu siku ya uchaguzi. Mmekutana na wenye akili zaidi yenu. Na mkitoka Tu .wale jamaa walivaa cape nyeusi hawajatosheka.
Sasa kuua watu ni akili ?
 
Back
Top Bottom