Nimekuchapa kule headquarters mpaka umekimbilia huku chooni kutuliza maumivu?
Sawa SHITHOLE.Nimekuchapa kule headquarters mpaka umekimbilia huku chooni kutuliza maumivu?
Hahahaha well said mkuuHehehehe.... Mitanzania bana, wafuata mikumbo na kujaribu kuonekana hata nyie mpo, watu kama nyie ndio mnasababisha bora tuitwe shithole kabisa.
Hadi sasa hamna audio recording au ushahidi wowote kwamba Trump alitukana Afrika rasmi, yote ni dezo dezo za backstage rumors. Ikulu ya Marekani imetoa tamko na haijakiri chochote, sasa Miafrika tukianza kujifanya eti tumekerwa sana, mbona tusifanye kweli na kuwafukuza Wamarekani kutoka nchi zetu na kufunga balozi zao.......pambavu tu hamna lolote.
Japo pia kiana nahisi tunafaa kuitwa zaidi ya shithole hususan tunaotafuna binadamu kisa ni albino eti watatuongezea utajiri na kushinda kwenye uchaguzi.
Kwa majibu yako haya, inaonyesha ni jinsi gani ulivyoumizwa na matamshi ya kukudhalilisha, hata kama sio kweli kwa yale niliyokuambia unayo, ndivyo hivyo hivyo kwa Africa ilivyochukizwa na Trump, sio lazima uwe Shithole ndiyo ukasirike.Kwa haya matusi yako nakupa grade ya E, ungepata grade ya juu zaidi ila hujaweza kutumia 'imagination' yako vizuri. Afu umetumia emoji tano tu, very poor. Work harder. Kwa mfano, wewe joto la jiwe ni nungunungu ambaye ana jicho moja tu la kengeza afu ulizaliwa juu ya jiwe bila map[emoji768]mb[emoji768] na una fuzi za rangi ya zambarau kwenye makalio. 😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀🙂😀 Umenielewa?
Mi nilikusihi uwe creative tu, hamna cha kumind wala nini. Sasa wewe utakasirika na mambo ya mitandaoni kwani huna life yeyote ingine ya kuishi? Easy is the keyword my friend, no stress. Nakusihi pia nawe uchukue mkondo huo jombaa kwa chochote kile ufanyacho maishani. Utaenjoy sana.Kwa majibu yako haya, inaonyesha ni jinsi gani ulivyoumizwa na matamshi ya kukudhalilisha, hata kama sio kweli kwa yale niliyokuambia unayo, ndivyo hivyo hivyo kwa Africa ilivyochukizwa na Trump, sio lazima uwe Shithole ndiyo ukasirike.
Binadamu yeyote yule lazima awe na hisia, lazima awe na uwezo wa kutofautisha baya na zuri, aweze kugurahishwa na mazuri na kuchukizwa na mabaya, aweze kupongeza yaliyo mema, na kukemea mbaya, hasa kwa yale yanayodhalilisha utu wake, iwe mitandaoni au popote pale.Mi nilikusihi uwe creative tu, hamna cha kumind wala nini. Sasa wewe utakasirika na mambo ya mitandaoni kwani huna life yeyote ingine ya kuishi? Easy is the keyword my friend, no stress. Nakusihi pia nawe uchukue mkondo huo jombaa kwa chochote kile ufanyacho maishani. Utaenjoy sana.
Hakuwatukana watanzania Bali wale walijifanya eti wanataka kuikomboa nchi huru kwaiyo wao wawe na uchungu au na wew ni mmoja waoWatanzania buana sijui mtakua lini mlitukana na Mkapa kwamba nyie ni malofa mkachekelea ila Trump kusema kidogo tu mnajifanya mnauchungu sana
Sasa si mngekaa kimya kuliko kujipendekeza au mliambiwa mtoe msimamo wenuSo unategemea tutokwe na mipovu kwa kitu ambacho hakina ushahidi, hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi wowote hadharani kwamba Trump kasema. Pangekua na ushahidi kama ule wa Mkapa kuwaita nyie malofa basi hapo tungetokwa na mipovu na kulaani na kulialia na kusema sema, lakini kwa sasa kila mtu amekurupuka na makelele bila ushahidi wowote.
Msemaji wa serikali alikua anajibu swali aliloulizwa kuhusu maoni yake ya hilo tusi, na akasema wazi kwamba wanalifanyia uchunguzi na hadi sasa hawajaona shida yoyote maana kiukweli hamna ushahidi zaidi ya dezo dezo, sasa ulitegemea afanye nini, alie au naye amtukane Trump.
Sasa si mngekaa kimya kuliko kujipendekeza au mliambiwa mtoe msimamo wenu
Lakini bora alivyotoa msimamo wenu ili kulinda ndoa za wanaume wakenya wanao kimbilia kuolewa marekaniMsemaji wa serikali aliombwa atoe msimamo na wana habari.
Lakini bora alivyotoa msimamo wenu ili kulinda ndoa za wanaume wakenya wanao kimbilia kuolewa marekani
Aliombwa na hakulizimishwa, kama alikua hajajipanga au bado serikali haijajipanga angesema kwamba tutalitolea tamko rasmi baadae, kumbuka kwamba, kukaa kimya ndiyo jibu zuri kwa swali hatarishi. You are the master of unspoken word, and soon you become a slave of unplanned spoken word.Msemaji wa serikali aliombwa atoe msimamo na wana habari.
Aliombwa na hakulizimishwa, kama alikua hajajipanga au bado serikali haijajipanga angesema kwamba tutalitolea tamko rasmi baadae, kumbuka kwamba, kukaa kimya ndiyo jibu zuri kwa swali hatarishi. You are the master of unspoken word, and soon you become a slave of unplanned spoken word.
Dunia nzima imejiridhisha kwamba alisema, nyie pekee mnaokufa kwa njaa ndiyo hamjasikia hadi mtakopopewa mahindi ndiyo mtasikia vizuri. Vipi kuhusu kujitoa mkataba wa kuzuia nguo za mitumba ambao ninyi mlikua mstari wa mbele ili kulinda viwanda na Uhuru kunyatta akausaini, lakini baada ya Marekani kutishia vikwanzo mkabadilika bila hata kushauriana na nchi zingine za EA?, au pia mnahitaji ushahidi?, Kenya ni nchi ya hovyo kuliko hizo shithole countries alizokusudia kuzitukana Trump. Vinchi kama Rwanda vinakua na msimamo wake lakini ninyi mnawaogopa wazungu kuliko Mungu.Alihitaji kujipanga kwa lipi, ameulizwa swali atoe msimamo wake kuhusu kitu ambacho hakina ushahidi wowote, sasa aende akajipange kwa lipi. Hapo alijibu ipasavyo, kwamba serikali haina shida na hilo maana sio tamko rasmi la Marekani na hamna sehemu yoyote imethibitishwa na akaongeza wanafanya uchunguzi. Sasa nyie mnaojaza server za JF na insha kwa kitu ambacho hakina ushahidi ndio mnadhihirisha ushithole kabisa.