Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'


Bora ingekua hivi unavyosema, maana kwa kweli sisi huwa tupo kimaslahi, hatuna muda wa kuitana ndugu sijui rafiki nk.
Lakini issue kubwa hapa ni kwamba hamna ushahidi Trump alisema, sasa hatuwezi kubweka tu, na pia unambwekea Marekani wewe kama nani, yule amesababisha majanga makubwa dunia hii na hadi sasa hakuna mwenye uwezo wa kumtia kidole.
Anayo uwezo wa kutumia ndege moja kuipiga Tanzania yote, yaani inazinguka kwenye angaa na kumwaga mabomu bila kuonekana na radar, itakua inageuza tu kwwenda kuongeza mafuta na mabomu. Ametesa dunia na bado anatanua kwa ubabe, sasa mlalahoi baada ya kunywa uji wa ulezi uanze kumpigia makelele Marekani.
 
Kauli ya Trump kwani ni ya uongo???

Nasikitika kukubaliana na wewe hapo, Afrika hii ni zaidi ya shithole ukisoma matukio ya kila siku, uniambie mtu unamchinja na kumtafuna albino eti utajiri wako utaongezeka au utashinda kwenye uchaguzi halafu ukasirike kisa umeitwa shithole.
 
If you can't fight them, join them!
 

hizo kauli za kinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…