Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Ndugu yake ambaye si tu wamekuwa nae bali pia amesoma nae hadi alipokuwa Azam Media anamjua Nduguye ni Yanga SC lia lia na aliposikia kapewa Ulaji Simba SC alisikitika na Kuushangaa mno Uongozi wa Simba SC.

Yanga SC wamepandikiza Virusi wengi sana ndani ya Simba SC ( katika Uongozi ) na hadi Benchi la Ufundi bila kusahau upande wa Waganga wetu tunaowatumia.

Yanga SC Watatutesa na Kutuadhibu.
Yanga alipopigwa mbili hayo mapandizikizi yalikuwepo au hayakuwepo bado!?
 
Selemani Mbanduaji Tukuka kabisa wa Milango yako yote ya Kibaiolojia.
Selemani Lutindi inakuhusu
JamiiForums1817459093.jpg
 
Kosa la Ahmed Ally lilikuwa ni kumtaja Kibu Denis ndio mgeni rasmi. Na Yanga wakatengua fumbo kuwa Kibu ndiye atakayevalishwa kizizi cha ushindi wa Simba.

Hivyo wachezaji wa Yanga walielekezwa wamuumize ili asiendelee na mechi.
kilichotokea baadaya Kibu kutolewa uwanjani baada ya kuumizwa. Ni magoli mepesi kumiminika hadi yakafika 5G

Poleni. Yanga ilishinda kwa nguvu za tunguli, huyo kocha mnamtimua akiwa wala hana hatia.
Ujinga wenu tu na fikra zenu mbovu.

Kulikuwa na ki day, max day mbona mechi ziliishaga vizuri tu?


Kutajwa kibu ndio iwe shida?
 
Back
Top Bottom