Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa makini sana kwa sasa kwani umeshaingizwa katika 18 baada ya Mtego na Umeshashtukiwa

Genta c Selemani pure
 
Sahih kbsa
 
Mnafiki tu wewe apate msaada leo thread ni 2020!! Tabia za kike hizo
Yeye anavyoweka screenshots za zamani tena kila uzi hauoni kama unafiki na tabia za kike ?

Halafu mbona umechagua kujibu kitu kimoja katika post yangu wakati sijauliza jambo hilo pekee hapo hauoni kama na wewe unaleta unafiki na tabia za kike kuchagua umbea unaokupendeza ?
 
Ndio maana ya kuitwa michezo mkuu usipanic yaan mchezo ndani yake kuna mchezo hivyo hivyo tu tuliza ball acha povu hata wewe ungekua nafas hizo na iman usingeacha kitu ungeenda hivyo hivyo mapenz ya yanga na simba yalikua zaman sana siku hizi pesa mbele
 
lipa watu madeni yao acha kuzuga hapa. ujanja mwingi jamvini kumbe kutwa unawakimbia tu wadeni wako. lipa madeni
We mbilikimo una vituko sana sema nikusaidie kulipa madeni yako😁😁
 
Mkuu hivi unajua huyo ndiyo CAPO DELGADO na hiyo ni ID yake nyingine? Anazo Nne ( 4 ) hapa Jamvini.
 
Screenshot za kuomba msaada?au zipi?kisa mwenzio aliweka shida yake humu ndio unaitumia kama point of personal attack yeyote anaweza anaweza pata shida binadamu hatujawahi kuishiwa shida..nimekukumbusha tu mzee.
 
Ahmed Ally ni Simba lia lia, yaani Simba hasaaaaaaa, amesoma na Mdogo wangu Kirinjiko Sec School, nilimuuliza akasema ni Simba tena lia lia. Hii ni Kamba
 
Ahmed Ally ni Simba lia lia, yaani Simba hasaaaaaaa, amesoma na Mdogo wangu Kirinjiko Sec School, nilimuuliza akasema ni Simba tena lia lia. Hii ni Kamba
Wewe ni muongo wa kutupwa ahmed ni yanga lialia mimi naongea hivyo kwasababu namjua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…