Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote.

Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au ututangazie anakuja na kama huna uhakika na Taarifa yake yoyote tafadhali Kaa Kimya kwani kwa hii tabia yako ya Kututamanisha ( Tease ) halafu haji kweli kuna Siku tutakuwamba ( tutakuzaba ) Vibao kwani Wewe na Simba SC si tu Mnatuchosha bali Mnatuboa pia kwa Kutudanganya kuhusu Ujio wake Manzoki.
 
Back
Top Bottom