Msemaji wa Simba SC Haji Manara Siku zingine uache Kiherehere cha Kumsifia Mchezaji Mnafiki wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' mwenye Uyanga mno!

Acha ujuaji wewe leo Yanga walikua bora Sana kwa Azam,,, angalia viungo wote wa Azam walivyo mezwa leo...Niyonzima ndio alikua mchezaji huru katika timu ya Azam yaan alikua free kufanya chochote lakini angalia kafanya nini,,inaonekana una chuki na sure boy,,
 
Kuwa Mjuaji ni sehemu moja wapo ya Sifa yangu tukuka hapa JF na katika Jamii. Sikukutuma uwe Pumbavu hivyo na pia Simpendi Kweli Sure Boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…