Msemaji wa Tabora United amvaa Jemedari Saidi

Hata ulaya ipo hivyo kwenye kila klabu huwa kuna watu ambao huwa ni vyanzo vya habari vya waandishi wa habari. We unadhani zile taarifa tunazozipata kutoka ulaya kuwa wachezaji wa timu flani hawamtaki kocha au hakuna maelewano katika dressing rooms huwa zinawafikiaje wanahabari kama sio hao whistle blowers?

Hata Fabrizio Romano anapata habari haraka kuliko watu wengine kutokana na kuwa na hao whistleblowers ndani ya klabu mbalimbali.
 
Wewe ni msukule.

Sisi wengine ni MASHABIKI wa mpira, timu zinakuja baadaye.

Tena watu Kama nyie shughuli zenu ni kufirwa tu huko mitaani
 
Binafsi yangu huyu Jemedari nilishaacha kumfatilia na nilisha block acc yake ya Instagram kitambo ypte hiyo ni kwa sababu ya unafiki. Sikatai kuna habari anazitoa ni kweli kama taaluma yake inavyomtaka lakini asilimia kubwa ya habari anazo publish zina uongo na unafiki mwingi kiasi kupoteza credibility yake.

Habari zake zina base upande fulani halafu huo upande unasiginwa chumvi nyingi ili mradi kupata kile anachokusudia sasa mtu kama huyo ni mbaya sana hasa akili akikutana na watu wenye uwezo mdogo wa kung'amua mambo. Anaweza walisha sumu kali bila wao kujua na wakawa kama yeye tu. Imeshathibitika mara kadhaa haipendi Yanga na ameshathibitisha mara nyingi zaidi kutoficha mahaba yake kwa Simba which is sio mbaya. Lakini kupenyeza habari za uongo kwakua huupendi upande fulani ni jamba baya zaidi.
 
Romano hua haandiki majungu kama huyo mjinga wenu
 
Jemedari hata Simba huwa anaikanyagia sana pale anapoona inapozingua.

Sema nachokiona watu wa Yanga wengi wamerithishwa chuki na Manara.

Mfano Jemedari akitoa maoni yake kuwa haioni Yanga kushinda mechi yao ya kesho, halafu mechi ikaisha na Yanga kushinda, mashabiki wa Yanga wote watamfuta jamaa na kuanza kumtukana.
 
TIimu ikiwa na ukata wa namna hiyo hata kuuza mechi ni rahisi sana TFF wanasemaje kuhusu hilo maana hizi Timu zinapewa pesa na wadhamini inakuaje wakawa na madeni makubwa wakati pesa ya mdhamini walipewa..
Ile match yao zidi ya 5imba ichunguzwe,ile rushwa wazi wazi.
 
Miaka ya kuanzia 2013 kuja juu Jemedari katika harakati zake uchwara za uwakala wa wachezaji alijaribu kuwarubuni Simon Msuva na Frank Domayo kuachana na Yanga huku yeye akijinadi atawasimamia na hakufanikiwa. Hii ni kutokana chuki aliyonayo dhidi ya Yanga na hakuishia hapo keshajaribu kwa wachezaji wengi tu wa Yanga.

Kuhusu kuikandia Simba inafanyika kujaribu kubalance asionekane maana hata namna ya uwasilishaji wake atajaribu kuipaka rangi Simba huku anakandia lakini kwa Yanga anaingiza hadi habari za uongo nafsi yake chafu ifurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…