Msemaji wa Umoja wa Mataifa afukuzwa DRC

Msemaji wa Umoja wa Mataifa afukuzwa DRC

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo

Takriban watu 30 waliripotiwa kufariki Wiki iliyopita, kutokana na Maandamano ya Kupinga uwepo wa Walinda Amani hao waliolalamikiwa kushindwa kukomesha mashambulizi ya vikundi vya Waasi kwa zaidi ya Miaka 20

....................................................

The Democratic Republic of Congo has called for the spokesman of the UN peacekeeping force in the country to leave as soon as possible.

The foreign ministry accused Mathias Gillmann of making "indelicate and inopportune statements".

Last week, the UN force, known as Monusco, became the focus of violent protests in eastern DR Congo.

About 30 people, including four UN peacekeepers and police personnel, died during the unrest.

The demonstrators complained that the UN mission had failed to halt a resurgence of violence by rebels, more than two decades after it was first deployed.

Source: BBC
 
😄😄 Wacongo bana,wange-invest kwny bolingo tu 😄😄
 
Duh eti MONUSCO wanasema m23 wanna silaha nzito Kama zile ambazo zinaweza kumilikiwa na taifa.hivyo basi hawatapigana nao.

Ujinga mkubwa huu .Bila shaka wapo Kongo ili kula urojo na kujipodoa.

Hats Mimi ningekwa huko ningepinga uwepo wao wajinga Hawa.
 
Wanalinda amani huku raia wanazidi kuuliwa na waasi,inauma sana.
 
DRC Wakitaka amani wawafukuze kabisa MONUCSCO.

Hawa askari wa UN wapo DRC kupora mali na kulipana mishahara mikubwa tu kwa gharama ya maisha ya Wacongoman
 
DRC Wakitaka amani wawafukuze kabisa MONUCSCO. Hawa askari wa UN wapo DRC kupora mali na kulipana mishahara mikubwa tu kwa gharama ya maisha ya Wacongoman
Permanent solution ya matatizo ya Wacongo italetwa na Wacongo wenyewe,kwa kuipenda nchi yao na kua tayari kuipigania,lkn kwakua wao hua Ni wataalam wa 'denial na Ni wazee kuhamisha magoli' watakesha wakitafuta solution.
 
Duh eti MONUSCO wanasema m23 wanna silaha nzito Kama zile ambazo zinaweza kumilikiwa na taifa...
Huo ndio ukweli na sio porojo, M23 wana silaha nzito maana kuna nchi ipo nyuma yao.

vikosi vya UN vipo kushughulika na waasi wenye silaha za kawaida tu.

Halafu jukumu la kulinda usalama wa Drc ni la Serikali ya Drc, Monusco jukumu lake ni kulisaidia tu jeshi la Drc kutekeleza jukumu lao, msaada una kikomo chake.
 
Back
Top Bottom