Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga

Sasa si angetoka hata kabla ya mechi maana naona kabisa kesha achia ngaz atafute kabisa mrithi wake sio kwa Yanga hii et wakulungwa au naongopea😁😁😁
 
Bila kuweka rehani mke wake Nadhiri/ahadi yake ni batili
 
Anatafuta umaarufu uyo ashajua vibe wanalolipenda wabongo
 
Angesema atatowa tako ndio ningeona yupo serious.

Yanga hesabu zao ni robo fainali wanavukaje siyo kufikiria vitimu vya mtaani kama hivi.

Au wanadhani bado kocha Mwinyi Zahera na straiker wa kutegemewa ni Ditram Nchimbi na Moringa?
 
Mikwara Ni sehemu ya maisha ya mpira kama ilivyo betting tu Kwa nlivyo waona yanga wanafungika vema tuu SEMA bado kupata Ile mechi YENYE ushindani tuone J moc itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…