Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si angetoka hata kabla ya mechi maana naona kabisa kesha achia ngaz atafute kabisa mrithi wake sio kwa Yanga hii et wakulungwa au naongopea😁😁😁Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.
Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.
Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
@bintiiringo
#WasafiSports
NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
Bila kuweka rehani mke wake Nadhiri/ahadi yake ni batiliMsemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.
Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.
Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
@bintiiringo
#WasafiSports
NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
Ubaya Ubwela.Ye haogopi?
Yetu macho na masikioGame zote hapa hapa
Kama kolo na Azam walivyouzaAu wameuza mechi Kwa Uto? Ni Watalaam wa saikolojia tu tunaweza kuusoma mchezo.
Tutamkaza hivyo hivyo[emoji23][emoji23] warundi sio wazur sana kama wanyarwanda
Anatafuta umaarufu uyo ashajua vibe wanalolipenda wabongoMsemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.
Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.
Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
@bintiiringo
#WasafiSports
NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
Wameuza hao kama tulivyouza sisi mbumbumbuAu wameuza mechi Kwa Uto? Ni Watalaam wa saikolojia tu tunaweza kuusoma mchezo.
Angesema atatowa tako ndio ningeona yupo serious.Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.
Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.
Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
@bintiiringo
#WasafiSports
NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
Hata kwao hawawezi anatafuta tu umaarufuKama game ingechezwa Burundi sawa lakini hapa ajitathmini
Mikwara Ni sehemu ya maisha ya mpira kama ilivyo betting tu Kwa nlivyo waona yanga wanafungika vema tuu SEMA bado kupata Ile mechi YENYE ushindani tuone J moc itakuajeMsemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.