Msemaji wa Vital'o kujiuzulu kama wakifungwa na Yanga

Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.

Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.

Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.
@bintiiringo
#WasafiSports

NB: tunaomba makolo muwape hints kidogo hawa Vital'o [emoji3063][emoji3063]View attachment 3069573
Huyu anampango tu wa kuondoka
 
Huyu anaonekana ameshaichoka hiyo kazi yake. Na hivyo ameona aitumie Yanga kama kisingizio.
 
Back
Top Bottom